wote

  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Harmonize kwa sasa ndio msanii pendwa kuliko wote Tanzania na mwenye mafanikio kimuziki. Kuujaza Wembley Stadium Desemba

    Ukubali ukatae ila kwa sasa harmonize na konde gang ndio wanaongoza kimuziki hapa nchini. Mangoma makali sana kutoka kwao na kipesa yuko vizuri. Ana Show zake nyingi nje ya nchi nikwanzia dola laki 2 kuendelea mwezi wa 12 atakuwa na concert pale Wembley Uingereza. Na huenda akawa msanii wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga Stop usafirishaji kwa kutumia magari madogo kuepuka ajali za kila siku

    RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo. Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya haya, mwisho wa maisha yao utakuwa mzuri au mbaya?

    Namaanisha baada ya muda wa hawa watu kuishi huku Duniani kuisha na wakaondoka. Huko watakapokwenda watakuwa na maisha mazuri au mabaya ? Imekuwa kawaida ya watu kila kitu wanachoambiwa wao ni kupinga tu. Hawatengi muda wa kutafakari, Hawatengi muda wa kujiuliza kwanini mtu ameamua kuacha...
  4. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
  5. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Wale mlioomba kazi ya Sensa ya Watu na Mmakazi naamini wote mlisoma kitabu cha Ngoswe

    WALE MLIOOMBA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NAAMINI WOTE MLISOMA KITABU CHA NGOSWE "Penzi kitovu cha uzembe" TUNAKUMBUSHANA. HATA MIMI NIMEOMBA😁😁🙈 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 MITOMINGI; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo MAMA_MAZOEA; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

    Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muda wote tu unawaza Kusafiri 'Majuu' kwanini huku nyuma Wajanja 'wasikupige' na Kujitajirisha?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aeleza kutoridhishwa na kasi ya uendeshwaji wa bandari. Chanzo: ikulu_mawasiliano Na kwa Kukusaidia hupigwi tu hapo Bandari bali unapigwa zaidi katika Utalii, Wizara ya Fedha na katika Madini. Si ulisema Wewe utakuwa Mpole na...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Wana Yanga Wote: na Thadeo Ole Mushi

    BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA. Na Thadei Ole Mushi. Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote ndani ya Man U

    Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire. Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki. Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
  11. Carleen

    JamiiForums Tanzania Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

    Hi guys, Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..! Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi...
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Binaadamu ni yule yule, hakuna Binaadamu Mwema au Mbaya wakati wote.

    Miaka kadhaa nyuma nilihudhuria msiba wa aliyekuwa jirani yangu kabla, kwa bahati mbaya au nzuri walihamia nje ya mji. Kwa wakati huo kulikuwa bado ni shambani hivyo hata miundo mbinu ya barabara haikuwa rafiki ,Bajaji na Bodaboda hazikuwepo bado, ilikuwa mwanzoni wa 2000. Usiku saa mbili...
  13. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Wakati wote niliolala na wanawake,wakiwa Lodge Kwenye vyoo vya kukaa hujimwaga tuuuuu bila kujali magonjwa inafedhehesha sana

    Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni. Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika niliOingia nao maeneo ya kuondoka stress na kupapasana. Kama hivi ndivyo walivyo wote naaapa Ile...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

    Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022 "Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi za aina hii tuseme wote hapana

    Anwani za makazi ni jambo jema lenye Nia njema. Lengo lake ni kutambua tunapatikana wapi ndani ya mitaa, kata, tarafa, wilaya, mikoa ndani ya Tanzania. Kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji na mitaa ina majina yake maalumu ambayo kama ukiyataja kila mtu atajua ni la mkoa na wilaya gani...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

    Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza. Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani. Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Polepole: Sitavaa barakoa hata kama nyie wote mnavaa barakoa

    Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge wetu hawa hutumia muda gani kutafakari mambo, muda wote ni makofi na kuimba tu

    Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest issues). Sisi wabunge wetu hapo ni kupiga meza (makofi),kucheka na hata kuimba muda wote! Do we...
Back
Top Bottom