wote

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

    Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi? Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

    1. Kikwete 2. Kinana 3. Makamba 4. Rostam Aziz 5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec. Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu. Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji kumsifia mchezaji muda wote ni sahihi?

    Mtangazi mmoja wa mechi ya leo kati ya Argentina na Australia, anaonekana kuwa ni shabiki wa Messi na Argentina kwa jumla. Muda mwingi anatumia kumsifia Messi hasa katika kipindi cha kwanza. Kweli Messi ni mchezaji maarufu ila kumsifia kupita kiasi wewe kama mtangazji ni sahihi? Mchezaji...
  5. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuwachukia wanawake wote

    Mwanzoni niliona ni attitude ya Muda tu lakini naona nimefika mbali zaidi! Hata nikisikia sauti ya kike inabisha hodi nashikwa na hasira tu. Ni mama tu ndiye huwa nawasiliana naye
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

    Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe. Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

    Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika😀 Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu...
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Marais Bora wa muda wote wa Tanzania ni Nyerere halafu Kikwete

    Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja. Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Press Release za TANESCO Zimejaa MW. MW Utadhani watanzania wote ni Electrical Engineers

    Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa. Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao. Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga. TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza...
  17. Slowly

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

  18. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya makusudi tu

    Nchi ipo ICU kwa sababu ya makusudi ya utawala wake. Huku maji huku umeme hakuna kwa sababu ya yeye kataka iwe hivyo! Nchi hii ina wanyama na mifugo zaidi ya million 50 lakini sijasikia mnyama yeyote kafa kisa kukosa maji na Wala hawagombanii maji ila sisi tunagombania maji kwasababu Rais Samia...
  19. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Watu walio kwenye utumishi wa umma karibu wote ni vilaza ukitoa wahadhiri wa vyuo vikuu

    Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented. Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Iliwezekanaje ulaya watu walikufa kwà maelfu kila siku kwà korona halafu kufumba na kufumbua watu wote wakawa hawafi tena?

    Hili swali najiuliza sipati majibu ulaya na Marekani walikufa maelfu kwà maelfu kila siku iendayo kwà mungu halafu kufumba na kufumbua ugonjwa wa korona ukakoma hima? Italy kila siku walikuwa watu wanakufa 5000/day mpaka malori ya jeshi yakawa yanabeba maiti! Marekani jumla walikufa watu karibu...
Back
Top Bottom