Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,195
103,721

Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika😀

Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu kukubali.

Huyu ni moja kati ya Viungo wachache sana kwenye soka la nchi hii kuwahi kubeba Tuzo ya Kiungo bora na tuzo ya Mchezaji bora, huyu unayemuona hapo kwenye clip.

Wachezaji wote ambao Malegend mnawataja sisi hatukatai ila tukiwauliza yapi makubwa yalifanyika tunaambiwa mwingine alikuwa anapiga chenga kuanzia chini mpaka goli, sawa tumekubali.

Tukiwauliza yapi makubwa mnatuambia walikuwa hawatoi pass bila kupiga kidali au tobo, sisi tunakubali hayo kwakuwa ni suala la mchezo wa mpira wa miguu ni burudani.

Lakini Clatous Chama amekuja kwenye zama hizi za mpira wa hesabu, zama za mpira sayansi na maelekezo ila Clatous Chama yeye ndie anatoa maelekezo kwenye mchezo huu.

Clatous Chama kwa miguu yake kaipeleka Simba kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, wameingia robo fainali mara mbili kwa miguu yake na jumla wameingia makundi mara tatu.

Takwimu kama hizi tunazisaka kwa tochi kwa wachezaji wengi ambao tunasema ni bora, namba zinambeba Chama na kipaji chake pia kinambeba sana, pasi na shaka.

Mchezaji ambaye anafunga mabao ya kideo, anakupa mpira wa kideo na bado anakupa takwimu nzuri ambazo hupati tabu kuzitetea😀

Mchezaji bora ni yupi? Wa kanzu na tobo? Mchezaji wa kufanya vyote na bado timu ikapata matokeo?

Clatous Chama ametokea kwenye kizazi bora cha Simba, nitajieni kama kuna Simba bora zaidi ya 2016-2020 kama ipo mnitajie! Kama kuna Simba iliyokuwa na takwimu bora kuliko hii nitajieni! Chama ndie kiini cha Simba hii.

Mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea, Clatous Chama NO DOUBT.

Credit: Farhan
 
Chama anatesa dhidi ya timu ndogo akikutana na wakurugumbe anajinyeaga tu, mfano juzi kati na Mbeya City mavi yalimbana huyu mwana Ngada FC, Sembe FC, Pusha FC, Punda FC, Bwimbwi FC au nasema uongo ndugu zangu.
images (1).jpeg

Tumia akili zako badala ya Utopolo kusema ukweli.

Hapo juu Chama aliikamua timu ndogo? Chama alipoikamua Vita kwenye goli 4 ni timu ndogo. Kule kwao aliipiga vita ni timu ndogo. Kawaulize Platnumz kama ni timu ndogo. De Agosto imepigwa ndani nje Chama akisimamia shoo ni timu ndogo? Timu ndogo inaingia first stage?

Kawaulize Nkana Chama ni nani?

Najua wewe ni hater na mwenye wivu wa kike,ila nakujaza hivyo hivyo
 
View attachment 2429820

Wa timu ndogo na hana consistency maji kujaa kupwa na wewe ni shahidi, kule Morroco si nako yalimshinda karudi huku kwa kina Ihefu au siyo?
 
View attachment 2429817
Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika

Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu kukubali.

Huyu ni moja kati ya Viungo wachache sana kwenye soka la nchi hii kuwahi kubeba Tuzo ya Kiungo bora na tuzo ya Mchezaji bora, huyu unayemuona hapo kwenye clip.

Wachezaji wote ambao Malegend mnawataja sisi hatukatai ila tukiwauliza yapi makubwa yalifanyika tunaambiwa mwingine alikuwa anapiga chenga kuanzia chini mpaka goli, sawa tumekubali.

Tukiwauliza yapi makubwa mnatuambia walikuwa hawatoi pass bila kupiga kidali au tobo, sisi tunakubali hayo kwakuwa ni suala la mchezo wa mpira wa miguu ni burudani.

Lakini Clatous Chama amekuja kwenye zama hizi za mpira wa hesabu, zama za mpira sayansi na maelekezo ila Clatous Chama yeye ndie anatoa maelekezo kwenye mchezo huu.

Clatous Chama kwa miguu yake kaipeleka Simba kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, wameingia robo fainali mara mbili kwa miguu yake na jumla wameingia makundi mara tatu.

Takwimu kama hizi tunazisaka kwa tochi kwa wachezaji wengi ambao tunasema ni bora, namba zinambeba Chama na kipaji chake pia kinambeba sana, pasi na shaka.

Mchezaji ambaye anafunga mabao ya kideo, anakupa mpira wa kideo na bado anakupa takwimu nzuri ambazo hupati tabu kuzitetea

Mchezaji bora ni yupi? Wa kanzu na tobo? Mchezaji wa kufanya vyote na bado timu ikapata matokeo?

Clatous Chama ametokea kwenye kizazi bora cha Simba, nitajieni kama kuna Simba bora zaidi ya 2016-2020 kama ipo mnitajie! Kama kuna Simba iliyokuwa na takwimu bora kuliko hii nitajieni! Chama ndie kiini cha Simba hii.

Mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea, Clatous Chama NO DOUBT.

Credit: Farhan
Muda wote unamaanisha miaka 3 au? Kama umeanza kushabikia mpira 2019 Unajipaje haki ya kuwasemea watu walioanza kushabikia mpira 1989 na wameona viungo zaidi ya 200 wakicheza? Leo na akili zangu niseme Chama anamzidi Ramadhan Lenny, anamzidi Hussein Marsha, anamzidi Hamis Gaga? Anamzidi Njohole? Anamzidi Sunday Manara?
 
Tuletee takwimu zao na level walivyozifikisha club zao
 
View attachment 2429817
Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika

Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu kukubali.

Huyu ni moja kati ya Viungo wachache sana kwenye soka la nchi hii kuwahi kubeba Tuzo ya Kiungo bora na tuzo ya Mchezaji bora, huyu unayemuona hapo kwenye clip.

Wachezaji wote ambao Malegend mnawataja sisi hatukatai ila tukiwauliza yapi makubwa yalifanyika tunaambiwa mwingine alikuwa anapiga chenga kuanzia chini mpaka goli, sawa tumekubali.

Tukiwauliza yapi makubwa mnatuambia walikuwa hawatoi pass bila kupiga kidali au tobo, sisi tunakubali hayo kwakuwa ni suala la mchezo wa mpira wa miguu ni burudani.

Lakini Clatous Chama amekuja kwenye zama hizi za mpira wa hesabu, zama za mpira sayansi na maelekezo ila Clatous Chama yeye ndie anatoa maelekezo kwenye mchezo huu.

Clatous Chama kwa miguu yake kaipeleka Simba kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, wameingia robo fainali mara mbili kwa miguu yake na jumla wameingia makundi mara tatu.

Takwimu kama hizi tunazisaka kwa tochi kwa wachezaji wengi ambao tunasema ni bora, namba zinambeba Chama na kipaji chake pia kinambeba sana, pasi na shaka.

Mchezaji ambaye anafunga mabao ya kideo, anakupa mpira wa kideo na bado anakupa takwimu nzuri ambazo hupati tabu kuzitetea

Mchezaji bora ni yupi? Wa kanzu na tobo? Mchezaji wa kufanya vyote na bado timu ikapata matokeo?

Clatous Chama ametokea kwenye kizazi bora cha Simba, nitajieni kama kuna Simba bora zaidi ya 2016-2020 kama ipo mnitajie! Kama kuna Simba iliyokuwa na takwimu bora kuliko hii nitajieni! Chama ndie kiini cha Simba hii.

Mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea, Clatous Chama NO DOUBT.

Credit: Farhan
Badilisha iyo avatar ya mwanaume mwenzako kwanza au wewe ndio Barbara mwenyewe pisi ya mwamedi
 
HILI SUALA LIPO WAZI KABISA.

CHAMA NI MCHEZAJI WA MILENIA.
Tangu 2000- 2022.
Ndiye mchezaji Bora wa Muda wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom