wote

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kulazimisha vijana wawe wajasiriamali/ wajiajiri ni kuzidi kuwapoteza zaidi. Sio wote wanaweza

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana ikiambatana na huzuni. Hili tatizo la ajira ni karibu dunia nzima kwa sasa hasa Afrika. Ila tunachotofautiana ni namna ya kukabiliana na tatizo. Nchi nyingi za Afrika tunatumia mbinu za hovyo kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Wanasiasa, viongozi wa...
  2. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Mtanzania nawatakia kila la Kheri Watunisia Wote kwa tukio lolote lile liliko Kwao leo

    Na wakitaka nifurahi zaidi nawaomba Watunisia hawa waiishi ile Kauli yao ya Kusema Revenge has no Mercy (Kisasi hakina Huruma) na kwakweli Watunisia leo wasio na huruma kwa tukio lolote lile la leo Kwao huko nchini Tunisia.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali kuwaita raia waliosaidia uokozi wa ajali ya ndege na kuwashukuru kwa kazi ya kizalendo na kishujaa

    Ndugu zangu kwanza Natanguliza pole zangu za dhati Toka ndani ya moyo Wangu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika ajari ya ndege ya Jana, Najuwa maumivu, machungu, majonzi, huzuni, simanzi waliyonayo mpaka Sasa, Najuwa wanalia mpaka Sasa, Najuwa wanabubujikwa machozi mpaka muda huu...
  6. ninosi

    JamiiForums Tanzania M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki. Katika msimu huu (2022/23); 1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tarimba Abbas: Wezi wote wa pesa za Serikali wana jeuri hadi kwa Rais

    "....wanaoiba hizi mali za Umma si wadogo kama tunavyofikiri ni watu wazito na ndiyo maana jeuri yao si kwa Bunge pekee bali ni jeuri hadi kwa Rais." Tarimba. NB: Mtanikumbuka si kwa mabaya yangu bali kwa mazuri yangu.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natarajia Kuoa rasmi mwaka 2027 na nitapenda Members wote wa JamiiForums muhudhurie

    Naomba anzeni sasa Kupanga Kamati ya Harusi yangu ila Matola atakuwa Bodyguard wangu na LIKUD atakuwa Mpishi wa Chakula cha Harusi yangu. Wengine jipangeni Wenyewe.
  9. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  10. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndaki : Wizara imeridhia wafugaji wote nchini kuongezewa muda wa Usajili na Utambuzi wa Mifugo kielectronic Mpaka desemba 31

  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAR inatumia 50% ya Mkaa wote unaozalishwa nchini

    Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi. Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kufikia mwaka 2110 sisi wote hapa JF tutakuwa tumekufa

    Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini pamoja na jamaa zetu na marafiki zetu. Watu tusiowajua wataishi katika majumba na maeneo yetu. MALI zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi kati yetu wanaowakumbuka mababu wa...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  17. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko wote JF?

    Wajameni nina swali. Who is the smartest person on JF? Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote. Nataka nimjue kipanga wetu.
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania DC Moshi kukosa kura za CCM awaangushia hasira maafisa elimu kata kwa kuwahamisha vituo vya kazi wote bila malipo

    Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine. Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura ndani ya chama cha mapinduzi, amewaangushia maafisaelimu kata na kuwahamisha wote vituo vyao vya kazi...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Shaka: Sasa wapigaji wote uwe CCM au Mpinzani siku zenu zinahesabika kwa vidole

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema kutokana na kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ni pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi. Shaka amesema hayo leo Oktoba 15, 2022 katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na...
Back
Top Bottom