Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako

Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,362
Reaction score
83,361
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako.

Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
 
kaka unamefikia huku kisa zoezi la daftari au kuna jengine.

sometimes ukijifanya una akili nyingi unajikuta umekuwa mjinga
 
Back
Top Bottom