Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
Kwa mjibu wa maelezo ya Askofu mkuu wa Kanisa la ufufuo na uzima Tanzania.Itakuwa maajabu kama wafuatao wataenda kupiga kura
1. WAKATOLIKI:Kufuatia kupigwa kwenye makazi yake Padre Dkt. Charles Kitima ambaye pia ni Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu Tanzania (TEC) na shambulio hilo kuhusishwa...
Naam, ni kutoka kwenye Biblia, pia yasema " Wema watawalapo watu hufurahi ila waovu watawalapo, watu huugua. Katika kutafakari neno hili nami nikaona si watu linalougua bali wapenda haki ndio wanaougua, yaani kuteseka. Wale waovu , wanaonufaika na uovu na wale wajinga ambao hawafaidiki chochote...
Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla.
Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini.
Lakini...
Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia.
Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
Za Leo, saa nane kasoro mchana napigiwa simu na Mama muuza chakula kwamba amepigwa chakula kimemwagwa na pia wamemtukana mbele ya watoto zake, Baadae kidogo nampigia rafiki yangu jina maarufu "Gwasuma" ananiambia walichukua majivu na kuni wakaweka kwenye sururia la makande ambayo Huwa tunanunua...
JE, 2025 OCTOBER 2+2=5?
Kuna wakati huja katika kila ustaarabu unaokaribia kufa ambapo watu wanalazimishwa kupiga magoti mbele ya uongo.
Wanaambiwa waukariri, wauidhinishe, wauamini, si kwa sababu ni kweli, bali kwa sababu mamlaka yanataka hivyo.
Hapo ndipo Tanzania tulipo sasa.
Tunaishi...
Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli?
Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki?
Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
Moja kwa moja kwenye mada:
Kama Polepole upo humu kwa akaunti fake, naomba usiache kujibu hili swali langu:
Hivi Watanzania tutaacha lini unafiki wa kujifanya tunaguswa na yanayoendelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo? Polepole ni mgeni hapa nchini? Alikaa miaka mingapi Cuba?
Mimi si...
Makala Maalum: Uchambuzi wa Sifa na Faida za Luhaga Mpina kama Mgombea Urais wa Tanzania Oktoba 29
---
Dar es Salaam, Tanzania — Muda mrefu Watanzania wamekuwa wakitafuta sura mpya kwenye uongozi wa juu wa nchi. Katika harakati hizo, jina la Luhaga Joelson Mpina limeanza kuvuma, likitajwa na...
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.
Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
Kalamu ya Baba Askofu Mch. Dr. Kalikawe Lwakalinda Bagonza
SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu Tumepigwa Wote.
Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua...
Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21
Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
Ikiwa Mungu kweli ni wa wote mwenye nguvu zote, mwenye huruma na anayejali viumbe wake, basi ni vigumu kuelewa kwa nini mateso makubwa huwapata watu wasio na hatia.
Watoto wanaokufa kwa njaa, watu wanaoteseka kwenye vita wasivyovianzisha wao, na waadilifu wanaoangamia pasipo msaada, yote haya...
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.
Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!
Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama...
Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
Kwa kila mtanzania aliye na utii kwa nafsi yake na mbele za Mungu, atakiri kwamba kwa sisi sote tuishio sasa, hakuna mtu mwenye uzalendo wa kiwango cha juu kabisa, na mapenzi mema kwa Taifa ketu na wananchi wote, ambaye anaweza kumfikia Tundi Antipasi Lisu.
Lisu alikuwa na bado ana nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.