wote

  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  3. verify

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana wote wenye mtazamo chanya

    Kijana, maisha ni safari yenye milima na mabonde, changamoto na mafanikio, furaha na huzuni. Lakini ndani ya kila changamoto kuna fursa ya kukua. Ili uwe awakened—yaani, uwe kijana aliyeamka kiakili, kiroho na kifikra—lazima uamue leo kuwa maisha yako yana thamani na kwamba uko hapa kwa kusudi...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Humu tunaandika Uzi wa kutafuta wanawake wa kuoa kwa lengo la dhati kabisa lakini utakuta Uzi wote umejaa wanaume tupu au ndo mmomonyoko wa maadili?

    Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After all mtu anatafuta mke Sasa unajipitisha ili upate nini? Mnakela sana . Nimeandika Uzi wa kutafuta mke...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa

    Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  9. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Muda rasmi kwa wanaufufuo na watu wote tutenge siku ya kufanya karamu ya kuchinja na tuachilie sadaka maalum kwa wana wa anaki waliofunga kanisa

    Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza) Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata! Muda wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakikuzingua susa, bora mkose wote mama

    Mama Wakikuzingua wazingue pia. hawakujui vizuri Kwani una kipi cha kupoteza, bora mkose wote kuliko ukose mwenyewe Ni ushauri tu.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuberi awaalika Waislam wote kuhudhuria Maulid ya Daarul Maarif, kwenye Viwanja vya Bakwata Makao Makuu

    DAARUL MAARIFA DAY 2025 Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu. Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
  13. Drax001

    JamiiForums Tanzania Kama ulishawahi kumuona mtu whatsapp muda wote yupo online hadi saa nane za usiku soma hii..

    ULIMWENGU WA SASA MATUMIZI MAKUBWA NI YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE (ROBOT) NOW WHATSAPP KUNA ROBOT MAARUFU KAMA WHATSAPP BOT. ""baadhi ya features zilizopo kwenye whatsapp bot"" 1. VIEW STATUS HERSELF THEN JUST NOW 🙄📱Ina uwezo wa kuview status hata ukiwa offline muda wowote. 2. TUMA NYIMBO KWA...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Suluhisho Pekee ni Mchakato wa Kumpata Mgombea Urais-CCM kurudiwa !! Hii itawalinda Wazalendo wote walioamua Kukemea kilichotokea January 2025!

    Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!. Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!. Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake. Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baba Mdogo wenzie wote wamefariki, badala ya kutusimamia vizuri yeye anatuuza

    Baba yetu alishatangulia mbele za haki. Baba wadogo walishafariki pia. Amebaki mama na baba mdogo. Sasa baba mdogo badala ya kuwa mshauri mkuu kuhakikisha familia inabaki salama yeye anamsaidia mama kutuuza. Baadhi ya kina kaka wamechachamaa lakini baba mdogo kaziba masikio. Ndugu kina mzee...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
  17. leroy

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki 5 Bora wa Kike wa Rumba kutoka Kongo wa Muda Wote

    Ndugu wanajamii, Leo nimekuja na mada inayoweza kuzua mjadala lakini yenye umuhimu mkubwa katika historia ya muziki wetu wa Rumba kutoka Kongo. Tunapozungumzia Rumba, mara nyingi tunawaona wanamuziki wa kiume wakipewa kipaumbele, lakini ukweli ni kwamba wanawake wamekuwa na mchango mkubwa sana...
  18. Setfree

    JamiiForums Tanzania Watu wote duniani wangekuwa hivi, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu

    Watu wote duniani wangekuwa wanaishi maisha haya wanayoishi Wakristo wa kweli, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu. Wakristo wa kweli: Hawalipi kisasi – badala yake huacha Mungu mwenyewe alipe (Warumi 12:19). Hawaibi – wanaishi kwa uaminifu na kuridhika na walicho nacho (Waefeso 4:28)...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Walitaka Uraisi kwa miaka 10 lakini wote hawapo!! Tubadilishe mifumo

    Walitaka Uraisi kwa miaka 10 lakini wote hawapo!! Tubadilishe mifumo badala ya uchawa
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
Back
Top Bottom