CCM wanapita nyumba kwa nyumba kuandikisha wanachama wapya wa kadi za kielektroniki
Ajabu ni kwamba hawakuulizi kuwa unahitaji kuwa mwanachama au la
Wameandikakisha watu kibao haswa vijiji bila shaka tutasikia takwimu mpya watatoa wakiwa na mamilion ya wanachama
Nimepata pia...
https://www.youtube.com/live/ofrr-5ZXSAM
[Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Jonas Semu kwenye Maadhimisho ya Miaka 11 ya Kuzaliwa kwa ACT Wazalendo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam]
Ndugu viongozi na wanachama wote mliohudhuria...
https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX
Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025.
Hali...
Matajiri wote mnaojijua mnavaaga vito kama vile saa, pete mikufu ya almasi au dhahabu na vitu vingine vya thamani na ni mtu wa watu, mtu wa mitandao (public figure), basi fanyeni harakati zenu kimachale...kaeni chonjo.
Ikiwezekana kwa kipindi hiki tengeneza Pete saa au mikufu bandia, na ile...
Wanabodi
Huu ni wito kwa viongozi wetu wa dini,waepuke lugha za vijiweni wawapo mimbarini!
https://www.jamiiforums.com/threads/padri-muchunguzi-ashangazwa-na-kauli-za-rais-asema-waumini-wetu-ni-wanasiasa-lazima-tuwarekebishe.2335881/post-53667625
Matamshi haya ku mu address Mkuu wa nchi na...
Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu:
1. Maji yaliyotuama
Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu.
2. Taka zilizochakaa
Mbu hupenda kujificha sehemu zenye takataka nyingi hasa zilizo na unyevunyevu...
Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea.
Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao.
Hakuna mtu...
Kama kuna mtu ambaye nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu akiongea mawazo yake na kukemea pale anapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo, basi ni Mzee Warioba.
Huyu mzee hapindishi maneno.
Binafsi namuheshimu sana.
Ikiwa Makonda hajamuomba msamaha kwa kumshambulia Huyu Mzee, namshauri akaombe...
Kwako Rais wa JMT,
Waziri wa mambo ya ndani,
Baada ya kutafakari kwa kina kama mtanzania ni kitu gani kifanyike ili kudhibiti uhalifu katika maeneo mbalimbali, Nashauri serikali iunde chombo mahususi chini ya wizara ya mambo ya ndani kitakachokuwa kinatumia mfumo wa NATIONAL RECOGNITION SYSTEM...
Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa.
Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao.
Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana.
Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
Wanabodi
Utangulizi,
Hili ni bandiko elimishi la kuelimisha watu humu dhana ya uwajibikaji.
Je unajua kuwa mwajiri mkuu。wa watumishi wote wa umma,wakiwemo watumishi wote wa serikali,Bunge,Mahakama,wizara,idara,na wakala za serikali,na mashirika yote ya umma,mwajiri wao mkuu ni Rais wa JMT na...
Hapana. Msituchukie wote. Mimi nina kadi ya CCM mwanachama toka mwaka 1985 madogo wengi wamekuja wamenikuta akina mwashamba hawa akina Tlatlaa, huyu mamasamia2025 ni mdada ambaye amekuja ccm miaka hii akidhani naye ni mwanasiasa.
Mimi nlipinga mambo ya hovyo ya kuuza nyumba za Serikali kwa bei...
Habari wadau.
Interview ya mtoto wa magufuli na millard ayo, imeeleza mengi.
Binti wa Magufuli amesema baba yao akiwa waziri toka wanazaliwa bado aligoma kabisa watoto wake wote kwenda kuwasomesha kwenye shule za msingi za english medium. Na akawapeleka shule za msingi za Serikali, maarufu...
Nimekutana na aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji wa mwaka 2024 ambaye ni mkuu wa shule mojawapo katika mkoa wa tabora, kwa masikitiko makubwa ameeleza namna viongozi wa serikali walivyowalazimisha kujaza form za wagombea wote wa ccm ambazo zote zilikosewa kujazwa...
Nilidhani hili tulishalimaliza zamaaani ila naona bado kuna watu wanakataa kukubaliana na huu ukweli.
Sitasema mengi ila nitaambatanisha vyanzo vitatu vya kuaminika ambavyo vyote vimekiri kuwa Simba ilicheza fainali ya CAF Cup 1993.
Hii hapa chini ni article ya CAF baada ya mechi ya pili ya...
Until then, mimi bado nitaendelea kuwaita hustlers walioweza kuishinda system kufanya shughuli za uchumi bila ya kulipa makato. HONGERA KWAO!
YESU SIO DINI, DINI SIO YESU, YESU NI NJIA.
Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
"Wala sina wasiwasi na yaliyomtokea Mume wangu na kwa msichokijua Mimi nilijua mapema kabla yenu na nikazungumza nae na kumalizana nae na sasa tunaendelea na Maisha pamoja na Mapenzi yetu huku tukiwashangaa tu mnaoshadadia na kuzungumzia Kutwa hili jambo. Nampenda mno Mume wangu Mwijaku hata...
Niwatake viongozi wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa, "Tuzingatie taratibu na sheria za nchi, Uchaguzi huu uwe ni fursa ya kuimarisha zaidi umoja na demokrasia yetu ili tupate viongozi bora na walio imara. Kamwe tusiruhusu uchaguzi huu kuwa chanzo cha migogoro, chuki mivutano na uvunjifu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.