wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania BURKINA FASO: Waziri wa zamani ahukumiwa miaka 5 jela kwa wizi wa fedha

    Waziri wa zamani wa serikali nchini Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za umma, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ulioshuhudiwa na shirika la habari la AFP Machi 27, 2026 Uamuzi huo unafuatia kesi ya awali ambapo watumishi wanne wa umma kutoka...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Rais naomba umpatie tuzo Dudubaya, na mkurugenzi MSD, mwongezee cheo kwa wizi wake.

    Dudu BAYA apewe tuzo, na mkurugenzi MSD mpandishe cheo awe mwizi mkuu wa serikali Tanzania.
  3. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Magari ya Transit It

    Recently Kuna majaribio mawili ya wizi wa Magari ya Transit yametokea katikati ya Iringa na Makambako jaribio la kwanza ni gari Toyota Mark X ambalo limefanikiwa na dereva bado yupo kituo cha polisi na jaribio la pili ni Toyota Landcruiser Prado hii mission ilikuwa failed hili lilitokea mchana...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wizi wa Mita za Maji Moshi unaendelea, wanaoiba wanapeleka wapi? Bora Mita zikae ndani ya uzio

    Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano zimeng'olewa eneo ninaloishi. Hili jambo napata mashaka makubwa sana wahusika wa hili tatizo...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Jinsi wizi wa house boy ulivyoisababishia nchi hasara kubwa za kiuchumi

    Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50. Alisafirisha nyara hizo hadi Thailand ndani ya vacuum cleaner kupitia kampuni ya usafirishaji ya DHL. Saudi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Simu zinatukata Mawalaka 20% kwa kutuma fedha nje ya Mkoa, huu si ni wizi huu?

    Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata kuanzia Asilimia 10 hadi 20 ya commission tunayostahili kupata kwa kufanya miamala nje ya mkoa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi kwenye malipo ya cash hospitali za serikali (imetokea Amana)

    Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma. Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo mgonjwa hatoyatumia. Kwa sababu ni ngumu kwa watu kujua, huwa wanalipia dawa nyingi na kuzikabidhi...
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kununua kitu cha wizi?

    Huu msala omba tu usikukute aisee unaweza kuondoka na Mali zako zingine ambazo hata hazihusiani kabisa na wizi. Mimi kwa mara ya kwanza nimekutana na huu msala nimenunua tv nch43 nimenunua ikiwa mbovu kioo ili nivune spea almanusura inipeleke ndani. Japo muhusika au mwenye Mali kasema ilikuwa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
  10. Asantehene

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Tatizo la Wizi wa Mita za Maji na pendekezo kwa mamlaka husika

    Wakuu nimekutana na hii hoja, nimeona niiweke hapa iwafikie wadau wengi zaidi, na DAWASA kama wanaweza kujibu itakuwa vizuri zaidi. Majuzi tuliamka tukakuta mita yetu ya maji haipo. Cha kushangaza, mita tatu zilizo karibu hazikuguswa. Wazo la kwanza lililotujia ni kwamba huenda DAWASA wameitoa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  13. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ya wizi wa fedha Chadema ni kweli?

    Kama ni kweli Heche chukua hatua. Pili kila mchango upitie kwenye namba za chama na si vinginevyo na uwe msimamizi wa hizo namba. Kwani unazibeba mabegani? Unakuwa nazo kwenye simu yako and all is done!
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Watoto Wakati wa Kujifungua Hospitali Zetu Kubwa

    Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa kujifungua... Biashara hii inahusisha hata baadhi ya watu wa usalama kulinda "wafanyabiashara" hao haramu wa...
  16. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Kuna wizi wa ndala kwenye guest house?

    Hizi guest za elf 15 mpaka 30 utakuta ndala ni rangi tafauti, hivi Kuna watu wanaiba ndala? Mtu kalipia guest elf 20 aibe ndala za buku 2 kweli au watu wa guest wanakuza tu mambo! Eti mjusi sharobalo?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine huyo hapa. Unadhani atakemea wizi, uuaji, uporaji etc? Never!

    Clip inatosha
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wabongo hili la tamaa na wizi halitujengi, linatuchafua

    Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu awali nilisimamia mwenyewe kwa takribani siku 18 baada ya kuwa likizo sasa siku za likizo zilipo...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ona unafiki wa hawa Maayatollah na wizi wao kwa kutumia dini

    Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani? Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam...
  20. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
Back
Top Bottom