Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,675
- 8,949
Hizi guest za elf 15 mpaka 30 utakuta ndala ni rangi tafauti, hivi Kuna watu wanaiba ndala? Mtu kalipia guest elf 20 aibe ndala za buku 2 kweli au watu wa guest wanakuza tu mambo!
Eti mjusi sharobalo?
Eti mjusi sharobalo?