Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu awali nilisimamia mwenyewe kwa takribani siku 18 baada ya kuwa likizo sasa siku za likizo zilipo...
Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani?
Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam...
Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa.
Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana ,
Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli
Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi?
Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu?
Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the...
Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali.
Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo.
Aloo hili li-nchi...
Ni ukweli usiopingika kuwa hizi mita mpya ni unyonyaji sana kwani umeme haukawii kuisha.
CCM ni wanyonyaji sana kwa watanzania.Kwakweli inahitajika nguvu kubwa na mapambano kuwaondoa hawa wanyonyaji wa watanzania.
Halafu hawarudishi units zilizokuwepo awali.
Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings
Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza
Mwajiriwa anaelipwa kwa kodi za wananchi bado anahitaji mlungula au ya soda ili afanye kazi yake, bila hivyo...
SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali.
Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
Kumekuwa na hujuma za makusudi za kupandisha bili za maji za watu. Kwa kudhibitisha, asilimia kubwa ya watu bill zao za mwezi wa November zipo juu bila sababu za msingi , je ni serikali inatafuta pesa kwa nguvu ama? We malalamiko tujuane.
Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji
G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi
Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano?
Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu?
Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini?
Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika .
point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao.
Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa.
Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha.
Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane.
Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao.
Je, wametugeuza Mtaji?
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watu13 kwa tuhuma za wizi wa pembejeo za wakulima wa korosho msimu wa 2024/2025.
Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, Kamanda wa Polisi Mkoa huo SACP Issa Sulemani amesema mnamo Agosti 29, 2025 polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya...
Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia askari mgambo wawili kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, ikiwemo mali za raia mmoja anayeishi katika Manispaa ya Lindi.
Waliohusika ni Karimu Athuman Omari (29), askari mgambo namba MG. 512421, mkazi wa mtaa wa Raha Leo, na Zawadi Swedi...
Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu.
Hakuna msaada kutoka Yas wanasema...
Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo.
Nimesikitika sana nimeenda kituo cha afya kimoja kikubwa tu na kinahudumia zaidi ya kata tatu au zaid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.