Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi?
Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi, Katibu wa uenezi na itikadi wa chama tawala, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, na mtu wa karibu kabisa...
SIM Swapping Wizi wa Namba ya Simu Bila Kuibiwa Simu Na Jinsi ya Kujilinda
Katika dunia ya sasa ya kidigitali, namba yako ya simu imekuwa “kitambulisho” chako mtandaoni. Inatumika kuthibitisha miamala ya benki, kufungua WhatsApp, kusahihisha nenosiri kwenye akaunti zako, na hata kupata huduma...
kumekua na maoni mseto juu ya wizi wa baiskel yangu, iliibiwa juzi usiku, jirani wanasema nitoe taarifa polisi ni kachukue RB, lakini wengine wanasema iwapo nitamsweka ndani wenzie wataniundia tume, kwani nitakua nimechafua hali ya hewa.
Badala yake nimuombe jamaa arudishe kiroho Safi, ila...
Palikuwa na uzi humu:
Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?
Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia.
Ikumbukwe anayeweza...
Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko
Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani?
Jibu No,kura ziliibwa🥴
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
Naomba tu kusikia kwenu wadau!
Kuna bidhaa huko Mtandaoni hasa Instagram Zile za "FREE shipping/Transport Pay on delivery"
Zinakuwa na picha ya bidhaa, video n.k zikionesha ubonyeze kitufe ili kupata oda!
Bidhaa nyingi za namna hiyo zipo hapa hapa Tanzania kariakoo na Sinza!
Mfano wa bei...
Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana .
Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB.
MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja
Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana .
Sijui kiongozi wenu ni nani ...
Mpina amesema kuna viongozi wengi Sana wa serikali wameiba vya kutosha hii nchi akiingia IKULU mali zote za serikali watazitapika mara moja mahoteli yao zitakuwa hospitali za umma
Habari wadau.
Leo imetimia miaka minne toka kijana maarufu maeneo ya Yombo kwa jina la baba tiago.
Kijana huyu wa early 30 baba wa watoto watatu, aliuwawa kwa kuchomwa moto maeneo ya buguruni alipokamatwa akiiba kwenye godown la mizigo.
Baba tiago alikuwa kijana ambaye hajabahatika kupata...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025.
Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
DAR. Watu wanaotajwa kuwa wezi mtandaoni kutoka ndani na nje ya nchi, wameiba zaidi ya Dola za Marekani milioni 49 sawa na takribani Sh bilioni 150 kupitia mtandao wa benki kubwa saba nchini gazeti la Raia Mwema limeeleza.
Tayari Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, imekamata baadhi...
Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu.
Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
Pesa zinakopwa asilimia 100% zikifika nchini unakuta asilimia 60% ni kwaajili ya magari ya kifahari na matumizi yao kisha hizi 40% ni za wananchi na miradi ya maendeleo.
Licha ya asilimia hizi kubaki ndogo 40% zinapoingia mfano kwenye miradi nazo zinaibiwa alafu serikali wanabaki wanashangaa...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Alex Mkama Julai...
Ni wazalendo wachache sana wanaochukia ufisadi, Ukali Wetu wengi si kwa Sababu ya Maumivu ya Ufisadi, Ni kwa sababu hatukuitwa meza ya mgao
Dili likipigwa iwe ni ofisi au watu flani wamepiga hela, ghafla tunakuwa wakali sana, midomo inapiga kelele kama injini ya gari ya mgambo. Lakini...
Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa risiti na kisha unaruhusiwa kuingia.
Tumefika stendi hiyo tukiwa wawili tukatoa 500, wakala akatupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.