Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania,
Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k.
Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni...