Tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m

Tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m

Marathon day

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
687
Reaction score
1,090
Ndg zangu tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m, wakishakusajili unaweza angalia balance vizuri.

Baada ya week moja ukitaka kuangalia salio hupati majibu. Hapo ni either uwapigie customer care au ushituke tu bando limekata.

Niliweka bando la 15,000/ Kwa 18GB mwezi. Matokeo yake ilinichukua 2 weeks nakuta Sina bando, hawa watu ni wezi wa mchana kweupe. Kwanini washindwe kukupa options ya kuangalia Bado Kila ufanyapo matumizi? WIZI WA mchana, jirekebisheni HALOTEL
 
gb 18 umetumia takriban wiki mbili na unasema ni WIZI WA MCHANA?
 
Naomba niwatete halotel,ni kweli kuwa laini la M2M siku ukiangalia Salio kwa sms hawakukuletei SMS ila hawaibi bando,

Kama vipi download app yao ya myhalo utaweza angalia bando lako at anytime
 
Unalala TikTok, unashinda YouTube, unakesha Instagram, unzulula mda wote sportybet halafu bando eti limewahi kuisha. Wewe ni Mbwanasamatha punguza matumizi ya mtandao
 
Ndg zangu tuwe makini na hizi line za HALOTEL za m2m, wakishakusajili unaweza angalia balance vizuri.

Baada ya week moja ukitaka kuangalia salio hupati majibu. Hapo ni either uwapigie customer care au ushituke tu bando limekata.

Niliweka bando la 15,000/ Kwa 18GB mwezi. Matokeo yake ilinichukua 2 weeks nakuta Sina bando, hawa watu ni wezi wa mchana kweupe. Kwanini washindwe kukupa options ya kuangalia Bado Kila ufanyapo matumizi? WIZI WA mchana, jirekebisheni HALOTEL
Nilishajaribu kudownlod , tatizo kwenye HALOTEL app watadai password ambayo inatumwa kwenye line ya m2m, utapataje password Ili uthibitishe? Kumbuka msg haiwezi kuja kwenye number hiyo ya line ya M2M
 
Back
Top Bottom