wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unaujua wimbo wa Kasongo! Je, unamjua Kasongo na kwanini wimbo huo uliandikwa?

    KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA. Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na kuzikwa kwenye makaburi ya Lang'ata. Alikuwa sehemu ya kikundi cha wanamuziki wa Congo waliohamia...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nyimbo maalufu za msimu wa sikukuu ya Christmas, tupia wimbo mmoja na uweke na maneno ya husika na jina la mtunzi

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni Jim reeves: •Seno Santa Claus •Jingle bells •Silent night •Mary's boy child SILVER BELLS: "City sidewalks, busy sidewalks Dressed in holiday style In the air There's a feeling Of Christmas Children laughing People passing Meeting...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo Gani unaona kwako kwamba huu ndo umefungia mwaka 2024

    Ni wimbo ule ambao umetolewa kuanzia mwezi wa 10 au 11 na unajua kabisa huu lazima utakuwa tishio huko kwenye starehe au madisco na utakuwa unapigwa Sanaaa tu kwenye sikukuu, Mimi wangu ni huu👇
  4. JamiiForums Tanzania Cover song ya wimbo wa ‘Ova’ by Mbosso

    Huo hapo, by Hassan Mapenzi
  5. JamiiForums Tanzania Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo kwa ajili ya Rais Samia, wenye tittle ya "In her hands"

    Wakuu habarini za wakati huu, nakuja mbele zenu muda huu kuwasilisha wimbo wangu ambao nimetengeneza mahususi kwa ajili ya Rais wetu, mama mpendwa tena kipenzi cha watanzania, unaoenda kwa kichwa cha "In her hands". Huu wimbo nimeuandika kwa lugha ya Kiingereza. nimekuja humu kutoa taarifa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  8. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  9. JamiiForums Tanzania ili Diamond Platnumz awe nominated kwenye Grammy awards ilitakiwa wimbo wake wa "komasava" utrend internationally kama "calm down" ya REMA

    Diamond ilitakiwa atulize kichwa katika uandishi wa mashairi, nchi za wenzetu wanapenda songs with content and well understandable lyrics, fluent language, Nasikitika sana kuona msanii wetu Diamond anaimba ugolo bila yeye mwenyewe kujua, nadhani ingekuwa ni vizuri kama angepata mwandishi mahiri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zuchu kila wanapotaka kutoa wimbo lazima WASEME WAMEACHANA

    Naona ka Zuhura tayari kametangaza kuachana na Diamond. Wasanii wa Bongo bhana
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  12. JamiiForums Tanzania Harmonize mshitaki Tundaman kwa kukuharibia wimbo wako " Yanga hii inafungwaje"

    Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki? Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe. Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
  13. JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaujumbe tukuka kabisa. Uwafikie walengwa

    Wakuu Bado natafuta jina la mwimbaji asee umenigusa sana huu wimbo. https://youtu.be/402MIbgMyN8?si=dJuBXgPAtxXwOqkX
  14. JamiiForums Tanzania Naanzisha wimbo karibuni tuumalizie

    Mama wa kambooo Mbona wanitesaaa Kaaa pekeakooo Koma kunipigaaaa Mbali na weweeee Wembe wa kuchaaa Chakula kitamuuu... Endelea............
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiand

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaitwaje?

    Habari wana hilijukwaa Kuna wimbowa ki nigeria wenye lyrics baadhi zinazosema "... Just one more question...", naomba nifahamishwe unaitwaje I love the song Aasanteni sana
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Justin Bieber ameimba wimbo maalumu kuelezea manyanyaso aliyopitia kwa P. Diddy

    Wakuu kuna wimbo nakutana nao TikTok na X ukiwa na sauti ya Justine Bieber akieleza namna alivyonynyaswa na P. Diddy alipoenda kwenye party ikamgharimu. Kuna ukweli hapa. Wimbo huu hapa chini:
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Wimbo wa Nay wa Mitego uitwao Nitasema, umefutwa youtube na yeye hajulikani alipo

    Nimekutana na post katika mtandao wa X ikisema Wimbo wa Nay wa Mitego alioutuoa hivi karibuni umefutwa na yeye hajulikani alipo, je kuna ukweli wowote?
  19. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

    Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa. Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa. Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
  20. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Matonya “bado ni kiza” ufanyiwe remix wakati wake muhimu ni sasa

    Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na wasanii. Kuna jumbe nyingi sana na ata mwalimu Nyerere huko aliko lazima yupo anashangaa sana kuhusu hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…