wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Tanganyika

    Kwa kuwa wenzetu Zanzibari wameamua kuwa na kila kitu chao kinachowatambulisha kama taifa nadhani na sisi watanganyika ni muda wa kuanza kufufua matumaini ya kuwa na utambulisho wetu kama taifa. Bendera tunayo; Wimbo wa taifa la Tanganyika; Nchi yangu nzuri Tanganyika, Amani, Upendo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  3. Alubati

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaitwaje? Kaimba nani?

    Anaimba " bwana we .. bwana weee....niambie ukweliii...bwana we ...bwana weee.... nimechoka kudanganywaaaa... Kiitikio- wacha wacha wacha wacha wacha uongo wako bwanaaa eeeh! Nimeshagundua... na yule jirani ii.. na picha niligundua nikipokuwa nikifua aa... * Aliimba mwana mama mwenye sauti...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Weka wimbo /msemo(quote) wowote unao hamasisha utafutaji wa PESA

    Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana . mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivokula kichapo kitakatifu mbele ya shule nzima pamoja na kuimbishwa wimbo wa taifa

    Daah life la shule bhana so powa aisee. Wakati nipo form 3 shule moja hivi kusini mwa Tanzania tena mkoa wenye baridi kali nilikutwa na hii fedhea ambayo ni ngumu kuisahau alooo. Nakumbuka siku hiyo tulikuwa asemble tunajiandaa kuimba wimbo wa Taifa sasa mimi mikono niliiweka mfukoni ko hadi...
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya agoma kuingia kikaoni baada ya Wimbo wa Taifa kuanza akiwa nje

    Hii imetokea huko Mbulu mkoani Manyara hii leo baada ya mkuu wa Wilaya hiyo kugoma kuingia kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani kwa sababu Madiwani wameimba Wimbo wa Taifa kabla hajaingia. Kazi kwelikweli nchi hii mambo ni mengi. Hapo tayari ni mgogoro wa DC na DED na madiwani wake. Kisa ni...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Upi wimbo bora wa Gospel kwa kati ya hizi nne?

    Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir...
  8. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Mbuga za wanyama

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu? Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

    Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa. Back to the topic 👇👇...
  10. Mtukutu wa Nyaigela

    JamiiForums Tanzania Mungu wa kwenye wimbo wa taifa ni Allah au God?

    Wakuu Kwenye wimbo wa taifa anatajwa Mungu yupi Je viongozi wetu ni waumini wa Mungu, Je matendo yao yanaakisi uwepo wa Mungu ndani yao? Tujadili
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unahisi unaweza kutumia kuelezea Maisha yako?

    NARINGA- ZUCHU Mh-mmh Nani Roney? Ah, Roney (he-hey, yoh Tron) Sing, mmh, eeh Let sing, come on, eeh Sioni aibu Kwa kila linalo nifika Maana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachoki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania KWELI Shakira aliiga ala ya muziki katika wimbo wake wa Waka Waka?

    Mwaka 2010 FIFA walimpatia nafasi Shakira ya kuandaa na kuimba wimbo maalumu kwa ajili ya michuano ya kombe la Dunia ya mwaka 2010 iliyofanyika Afrika ya Kusini. Kwa taarifa za juu ni kwamba Shakira Isabel Mebarak alitupiga na kitu kizito kwani alifanya sampling na kuiba melody ya wimbo wa...
  13. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ndiyo mnataka kusema kuwa Watanzania huu Wimbo mpya na Mtamu wa Twanga Pepeta uitwa Mmbea hamjausikia na Kuusifia?

    Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge. Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda. Shikamooni Twanga Pepeta.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kondeboy kwanini wimbo wako huu kwa Yanga hukutaja wachezaji wote

    Wimbo mzuri sana ila umewataja tu kina Yao, Bacca, Zingeli, Aucho, Chama, Aziz, Dube na Baleke. Kipa wetu bora kabisa Diara hujamtaja. Huyo Aziz uliyemtaja ungemalizia Ki maana haijulikani ni yupi kati ya wawili tulionao. Hivi unamuachaje Musonda. Kwanini usiwakumbuke wachezaji wazawa kama...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wimbo wa Taifa la Zanzibar

    Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake. Tafadhali anayeyafahamu anisaidie. Asante.
  17. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Lady JayDee aliouimba kwa lugha 7

    Distance: Lady Jaydee Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji-ii-iiii Moyo wangu wakuwaza, mpenzi uko mbali nami Ngiyakuthanda, ngiyakufuna, ngiyakudinga Nhliziyo yami, ngicabanga ngawe, kodwa ukude nami mpenzi I love...
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Watu wa zamani (malegendary) mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

  20. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Mfahamu aliyetunga wimbo wa taifa wa Tanzania

    Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga. Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897. Tafsiri ya jina hilo kwa kiswahili ni Mungu ibariki Afrika. Ni wimbo maarufu zaidi Afrika ukitumika pia katika...
Back
Top Bottom