blind fighter
Member
- May 17, 2021
- 62
- 78
Wakuu habarini za wakati huu, nakuja mbele zenu muda huu kuwasilisha wimbo wangu ambao nimetengeneza mahususi kwa ajili ya Rais wetu, mama mpendwa tena kipenzi cha watanzania, unaoenda kwa kichwa cha "In her hands".
Huu wimbo nimeuandika kwa lugha ya Kiingereza.
nimekuja humu kutoa taarifa kwa sababu mimi sio msanaii, na profile yangu sio kubwa sana, kiasi kwamba nikiswema niupost youtube pekee, unaweza kuchelewa kumfikia mheshimiwa Rais. hivyo basi, naamini kupitia hii platform inaweza kuwa rahisi kumfikia Mheshimiwa Rais.
Hadi sasa wimbo upo youtube, link
View: https://youtu.be/vF7CRfNTyQ4?si=15dOiFcMZQBG8D5s
Nillitamani kutoa pongezi kwa Mh Rais, ila kumwone ana kwa ana najua haiwezekani, nikaona nimpe pongenzi kupitia huu wimbo kwa kuutambua uwajibikaji wake.
NimeUpload wimbo chini
(KIMOMBO)
Hello everyone,
I hope you're all doing well. I come before you today to present a song I have created specifically for our beloved and cherished President, a leader dear to all Tanzanians. The song is titled "In Her Hands."
This song is written in English and is a heartfelt tribute to our President. I am sharing this information here because I am not a professional musician, and my profile isn’t widely recognized. This means that if I only rely on posting the song on YouTube, it might take a long time to reach Her Excellency, the President.
Therefore, I believe that by sharing it on this platform, it might be easier to reach her. As of now, the song is already available on YouTube, and you can find it through this link:
View: https://youtu.be/vF7CRfNTyQ4?si=15dOiFcMZQBG8D5s.
I wanted to express my admiration and gratitude to Her Excellency the President, but meeting her in person is a challenge. So, I decided to extend my congratulations and appreciation through this song, recognizing her accountability and remarkable leadership.
Thank you for your support!
By kelvin (kevoo) kingphisher
phone (normal call/texts and whatsapp): 0620224372, from Dar ES Salaam.