Introduction
Taxation represents one of the most consequential exercises of state authority. It directly affects both individual livelihoods and the economic vitality of businesses. Yet, as essential as it is, the authority to tax must be carefully constrained by the law. It must be exercised...
If you can’t think critically, better stay away from this post aka thread.
Hivi karibuni taarifa za kifedha za mkuu mmoja nchini zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha kiasi cha zaidi ya bilioni 1 kikiwa kwenye akaunti yake. Hatua hii iliibua maswali mengi miongoni mwa wananchi...
Nimekutana na andiko linalokosoa kampeni zilizomfanya Janabi ashinde, andiko hili sijaona muandishi wake lakini lina mashiko kwa namna moja au nyingine. Ikumbukwe Ndugulile alishinda bila kampeni kama zilivyokuwa kwa dr Janabi, yaani wanasema kinachohitajika ni discreet diplomacy. Makosa...
Cheers Prof. Janabi for WHO Afro Director Election Trust!
I ‘m humbly writing this congratulatory massage to eagerly create a lasting impression of the same on your desk! I sincerely reiterate my proudly congratulation yet, extremely welcoming the trust WHO Afro member states bestowed on...
Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa.
Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili...
Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030.
Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu.
Naomba kuwasilisha
The introvent ✍️
Soma...
Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
kwa wanaofwatilia mgombea wa tanzagiza huko geneva, ningependa kujua huko who officialy wanamtambulishaje? je, wanamuita profesa Janabi pia kama sisi tanzagiza au wanamtambulishaje?
https://www.youtube.com/live/vVff21KwD50?si=4cn52B2JbabvDOdb
The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The...
Ndugu zangu Watanzania,
Taifa letu siku zote limekuwa la Kumtanguliza,kumtegemea na kumtumainia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Ni Taifa ambalo limekuwa likijiweka mikononi mwake Mungu kwa kila jambo.
Limekuwa ni Taifa la kujinyenyekeza na kuutafuta uso wake Mungu wakati wote,limekuwa ni Taifa...
The question I’m asking is: "Does WHO Africa not have electoral fraud to allow Janabi to win?" I raise this question because this candidate comes from a country that has a history of electoral malpractices and vote rigging.
Electoral integrity is crucial for any democratic process. When a...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kunoga ,mambo yanaendelea kuiva. Tanzania inaendelea kugonga vichwa vya habari, Tanzania inaendelea kutikisa Huko Duniani, Tanzania inaendelea kuteka mioyo ya watu, Tanzania inaendelea kuchanja mbuga mioyoni mwa watu. Tanzania inaendelea kuonyesha...
Man to man is so unjust, children
You don't know who to trust
Your worst enemy could be your best friend
And your best friend your worst enemy
###
Some will eat and drink with you
Then behind them so-so 'pon you
Only your friend know your secrets
So only he could reveal it
Hypocrites and...
Samia the bible in ReV: 16:15
It says :
““Listen! I am coming like a thief! Happy is he who stays awake and guards his clothes, so that he will not walk around naked and be ashamed in public!””
Revelation 16:15
Please step down now ! The hand of God will fall on you very soon!
You have...
Tumeona vipande vya Mahojiano kati ya mwandishi Millard Ayo na Mtoto wa aliyewahi kuwa kiongozi Mkuu nchini.
Jambo hili ni la kipekee na kihistoria nchini.
Humu jamvini na mtandaoni tuliwahi kumtaja au kumjadili Jesca Magufuli wakati wa uhai wa baba yake.
Yapo tuliyozusha au kuyasema bila...
Mheshimiwa Janabi akishindwa huko WHO aibu inarudi kwetu. Tafadhali apelekwe Mlingotini apikwe kijadi pia. Siku ya kupiga Kura hao wapigaji Kura waone jina lake tu.
What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population.
Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own...
Mwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.