who

  1. milele amina

    JamiiForums Tanzania Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2,2025

    Professor Janabi is set to compete with other candidates in a debate for the position of Director of the WHO Africa Region on April 2. I feel a sense of sympathy for him, as many Tanzanians are often hesitant to engage in debates like this. This fear can be attributed to several factors that...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

    Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea... Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatupaswi kufanya chochote kumsaidia professor Janabi kushinda ukurugenzi wa WHO kanda ya Africa

    Nimesikia watu mbalimbali na hata viongozi wakubwa kabisa wakisema watanzania tufanye kila tuwezalo ili professor Janabi ashinde kinyan’anyiro cha uchaguzi wa mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa. Tufanye nini ili ashinde? Kwa bahati mbaya tumezoea zile chaguzi ambapo watu wasio na sifa wanapigiwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kenya wanampambania Nduta asinyongwe Vietnam Vs TZ tupambanie Janabi ashinde WHO Africa

    1. Kama Taifa twende na Professor Mkuu Janabi (PhD) ili ashinde huko WHO Africa (baada ya Dr Ndugulile kufariki dunia) Diplomasia yetu ikue. 2. Tujifunze kwa majirani wao wamempambania Odinga Africa Union na sasa Nduta asile kitanzi huko Vietnam.
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika Kutoka Ivory Coast, West Africa

    Katika miaka ya hivi karibuni, shirika la afya duniani (WHO) limekuwa na jukumu muhimu katika kushughulikia changamoto za afya zinazokabili nchi mbalimbali, hasa barani Afrika. Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika anatarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, na kuna uwezekano mkubwa kwamba atakuwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama jitokeze kumnadi Prof Janabi ashinde WHO

    1. Waziri mwenye dhamana jitokeze kumnadi Mgombea wetu huko WHO. Akishinda Prof tumeshinda Tanzania nzima (bila kujali kabila wala Dini) 2. Nenda G20, AU, ECOWAS , COMESA, IGAD, EAC, Vatican na tumia network yako mliosoma nao Harvard University. 3. Mwijaku, Babalevo na Steve Nyenyere...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Who is likey to be the looser between Belgium and Rwanda

    Nani wa kupoteza kati ya hao katika kila nyanja...kiuchumi, kijeshi, kidplomasia etc etc.
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania All african leaders who tried to do good things for their countries were assassinated.

    Yes this is very true. The good example is gadaffi and magufuli.
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof. Mohamed Janabi Miongoni mwa Wagombea wa Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika

    PROFESA Mohamed Janabi, jina lake limetangazwa rasmi kuwa miongoni mwa wagombea watano katika kuwania nafasi ya Mkurugenzi wa Kanda ajaye wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa Kanda ya Afrika. Prof. Janabi, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anawania kiti...
  10. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Who gives general odds in betting platforms?

    The general odds in betting platforms are set by a combination of algorithms, data analysis, and human expertise. Here's a breakdown of how this process typically works: 1. Oddsmakers (Bookmakers): Role: Oddsmakers, also known as bookmakers, are professionals employed by betting companies who...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Remember who you are

    Remember who you're no matter how the world is evolving! Never forget your true nature not even a second. I LOST MY AMOUR I LOST MY HEIGHT I LOST MY PRESENCE I LOST MY FEAR FACTOR I LOST MY SIZE REMEMBER WHO YOU'RE BOK
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa usiojulikana waibuka Kongo na kuua watu zaidi ya 50

    Zaidi ya Watu 50 wamefariki Kaskazini Magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na ugonjwa usiojulikana, hii ikiwa ni kwa mujibu wa Madaktari waliopo katika eneo hilo na Shirika la Afya Duniani (WHO). Takriban visa 419 vimeripotiwa, vikiwemo vifo 53 tangu mlipuko wa ugonjwa huo...
  13. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Who is worse, Mobutu or Kabila?

    Comparing Mobutu Sese Seko and Laurent-Désiré Kabila, both leaders of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involves examining their respective regimes, impacts on the country, and legacies. Mobutu Sese Seko (1965-1997) Authoritarian Rule: Mobutu ruled with an iron fist, establishing a...
  14. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania How remembers this?

    Karibu tu share matukio yaliyowahi kuwa ya kihistoria nchini kwetu.
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gorilla spends her final moments hugging the man who saved her as a baby

    Gorilla spends her final moments hugging the man who saved her as a baby. A truly emotional picture.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania WHO yamtangaza Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika baada ya kifo cha Dkt Faustine Ndugulile

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza uteuzi wa Dk Chikwe Ihekweazu kama Kaimu Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika, huku likiweka wazi kuwa, Mkurugenzi mpya wa Kanda atachaguliwa Mei mwaka huu. Uteuzi huo unakuja kufuatia kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda...
  17. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania "Never mess with someone who is not afraid to be alone. You will lose every single time."

    Speaks to the strength and independence of a person who is comfortable being on their own. Here's a deeper interpretation: 1. Independence: Self-Sufficiency: The quote highlights the power of independence. A person who is not afraid to be alone is self-sufficient and doesn’t rely on others for...
  18. jodac

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika wachukulie jambo la USA kujiondoa WHO kama fursa na sio kulalamika

    Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari. Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tusijitokeze na kutangaza kuchangia mchango wote ambao Trump ametishia kujiondoa WHO? Hii itatupa heshima Dunia nzima

    Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu...
  20. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania 8 types of people who never deserve a second chance

    In this article, I’ll be pulling the curtain back on the 8 types of people who never deserve a second chance. Hold on tight, because some of these might hit close to home. 1) Chronic liars We’ve all stumbled upon a fib or two in our lives. It’s a part of human nature, right? But there’s a huge...
Back
Top Bottom