who

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Receives Ksh10 Million in Emergency Health Kits from WHO as Floods Hit

    The World Health Organization (WHO) has donated emergency health kits worth Ksh10 million to support Kenya’s response to ongoing flooding caused by the long rains. The supplies were received by the Ministry of Health, Kenya, in Nairobi, with officials saying the donation will help strengthen...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri za Epstein: Kisiwa cha Mnemba kama 'Uchochoro' nchini Tanzania

    Februari 4, 2026 DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: 🚬 Uvutaji Sigara / Nikotini 2. 🍺 Pombe 3. 💉 Heroin 4. ❄️ Kokeini 5. 💊 Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. 🧪 Methamphetamine 7. 🎰 Kamari 8. 📱 Uraibu wa Smartphone 9. 🌐 Mitandao ya kijamii 10. 🎮 Gemu (ps4, x-box, etc) 11. 🍔 Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: 🚬 Uvutaji Sigara / Nikotini 2. 🍺 Pombe 3. 💉 Heroin 4. ❄️ Kokeini 5. 💊 Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. 🧪 Methamphetamine 7. 🎰 Kamari 8. 📱 Uraibu wa Smartphone 9. 🌐 Mitandao ya kijamii 10. 🎮 Gemu (ps4, x-box, etc) 11. 🍔 Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  6. Eronda

    JamiiForums Tanzania Battle for Top 4, Who will make it to the champions league

    Chelsea made a big come back against Westham after scoring 3 goals in the second half. This win puts them at Number 4 in the premier league table with 40 points leaving Man United and Liverpool at numbers 5 and 6 respectively. However this win increases the battle for the top 4 and champions...
  7. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Who is the coolest guy in JF?

    Nitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr Upande wa manzi kuna Carleen na leo dada Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu. Wataje wengine🫵
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Marekani yajiondoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

    Serikali ya Marekani, chini ya utawala wa Rais Trump, imetangaza rasmi kukamilisha mchakato wa kujiondoa katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Alhamisi. Hatua hii inakuja ikiwa ni mwaka mmoja kamili tangu Rais Trump aliposaini amri ya mtendaji kuanza mchakato huo, ikiashiria mabadiliko...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Who cares

    Andika juu ya anga, chora juu ya ardhi, piga kelele zako hadi mbinguni, lakini ukweli hausogezwi. Nimechoka kusubiri ruhusa, ya kuwa mimi, maana hata upepo hauulizi kabla haujavuma. Wanazungumza— kama vile sauti zao zinaweza kubadilisha moyo wangu, lakini mioyo haibadilishwi kwa maneno ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania WAZO LA LEO: Who Commits Genocide

    Genocide is committed by those who give orders and subordinates that obey these orders. Muwe na siku njema.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbe kifupi cha FAFO ni kuwakumbusha Who Are YOu

    "F@#k Around, Find Out" .
  12. October 2pm

    JamiiForums Tanzania ‘Who are you’ naona wanaume wakikutaka. Endelea kujichomeka

    Wahuni sio watu. Wajua hali haitabiriki. Wameandaa mpango wa kumtelekeza mateka wao. Tayari ajua ameingia kwenye kumi na nane za wahuni. Hajui atokeje. Walahi hii mambo hii yachekesha. Na bado
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama nawaona Wazee wa Dar es Salaam waliopiga makofi na kushangilia aliposema Who are you?

    Duniani kosa vyote usikose akili Bibi muuaji baada ya kuuwa Watanganyika alijisifia kwa ngebe mbele ya Wazee wa Dar es Salaam kuwa nguvu aliyotumia hadi kuuwa watu ilikuwa sahihi. Zaidi akawauliza Waliomsema kuua, kuteka na kupoteza watu hasa Marekani na Umoja wa Ulaya "Who are You?" Huku...
  14. salisalum

    JamiiForums Tanzania Who is in control? Nani hasa anatawala nchi yetu?

    Ndugu Watanzania naomba tutafakari hii hoja iliyoko kwenye swali, nani hasa kwa sasa anaongoza nchi yetu? Kwa nini nimeleta hii hoja? Nina sababu kadhaa ambazo nitazitanabaisha hapa chini: 1. Ndugu Samia Suluhu Hassan akiwa bungeni mara baada ya kujitangaza mshindi katika uchaguzi ambao...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Who sensible màn will consume so called Judge Chande's 29th October 2025 massacre Investigation report?

    Dunianyote imelalamika kuwa ripoti hiyo haiwezi kuwa independent, neutral and credible. Essence ya investigative ripoti ni kupata ukweli, ukweli usio na mashaka. Sasa consumers wanasema kitakachoandikwa hapo hatutakikubali kwa sabahu hakiko independent. Iko biased, corrupted at the onset and you...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maji na umeme umekushinda umebaki na mdomo “ Who are You” !

    Huyu Mama na Chama cha Mafisadi hadi leo watu hawana maji mji mkubwa watu wana nunua maji na mgao wa umeme. Tusishangae hawashindi mpaka kuiba kura maana ni nani mwenye akili zake atawapigia kura watu ambao hawawezi kuleta maji na kutegemea mvua kwa miaka 60! Walisema tutauza umeme nje leo kuna...
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano yanaendelea huko nchini Ujerumani wanauliza " Samia who are you"

    "Tumekuja kuchukua miili ya ndugu zetu tukazike, Samia ondoka Ikulu hatukutaki WHO ARE YOU" Eva Shayo
  18. M

    JamiiForums Tanzania KERO Guys, hii ni vita ya uchumi, maadui zetu wamesababisha uhaba wa maji Dar. Who are you? They think they are still our masters?

    Guys, guys, guys this is economic sabotage, maadui zetu wanatuonea wivu sababu ya maumbile yetu na rasilimali tulizonazo. Tanzania ina bahari, maziwa, mito, mabwawa ila maadui zetu wanasababisha mpaka sasa miaka 64 ya uhuru maji si ya uhakika. Guys, natamani mfunguke mjue hii ni economic...
  19. MchelewajiSugu

    JamiiForums Tanzania Wanaotudai 107T, wamezuia misaada. Tukawashikia kiuno tukawahoji kwa dharau 'who are you?' Anayetupa kuishi kazuia mvua

    Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana. Usiku wa oct 31...
Back
Top Bottom