WhatsApp wamekuwaje?

jangos

Member
Dec 20, 2023
43
36
Habari,

Ni muda sasa nimekuwa nikifungiwa WhatsApp hadi natamani kuifuta kabisa, kila niki submit wanaifungua baada ya masaa 24 kisha haimalizi at a dakika 5 inafungiwa tena naomba msaada.

Screenshot_2024-05-12-12-24-56-77.png
 
Kama umeweka laini kwenye simu nyingine na WhatsApp ipo kwenye simu nyingine ndio michezo yao iyo.
Mbona hapa ni mwaka sijui wa 5 huu sijawahi kuweka hii line ambayo ninayotumia kwenye WhatsApp kwenye simu kubwa ambayo ndipo WhatsApp ipo?

Sidhani kama hiyo inaweza kuwa sababu.
 
Back
Top Bottom