Hii shida ya WhatsApp status kujimix ni kote au?

Hii shida ya WhatsApp status kujimix ni kote au?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,345
Reaction score
37,791
Wakuu natumia Ios, ila kuna kitu strange huwa kinatokea nikiwa na naview status za watu. Kinachotokea ni kwamba mtu A akiweka status basi inaweza appear kwa watu wengine pia, nao wanaonekana wamepost status hiyo hiyo!

Nimejaribu kuupdate whatsapp ila shida iko pale pale, sasa swali langu ni wote mnapitia hii changamoto?
 
Back
Top Bottom