Nyie ndio wale wa tuisheniAliyeelewa anieleweshe tafadhali..
Hizo sio primitive, ndio real ways, less drama and directMimi binafsi napendelea hizo primitive ways. Text messaging, DM and whatsapp are all a sort of udomo zege.
Zamani watu walikuwa wanatongoza KWA kuwafuata wanawake walipo. KWA sasa watu wanamaliza KWA kutumia simuAliyeelewa anieleweshe tafadhali..
Ungemwacha tu ili atumie akili na yeye kuelewa. Hawa ndio waliosoma shule za English Medium akili zao zimelala mpaka ziamshwe!!Zamani watu walikuwa wanatongoza KWA kuwafuata wanawake walipo. KWA sasa watu wanamaliza KWA kutumia simu
Yameongeza wigo mkuu🤣, coverage imekua kubwa zaidi
Mabasi ya njano haoNyie ndio wale wa tuisheni
hakika mkuuHizo sio primitive, ndio real ways, less drama and direct
Hizi online sio health