WhatsApp na iPhone 4

kyesha

Member
Feb 17, 2019
20
17
Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa.
Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2
Wataalamu
Nielezeni jinsi ya kuinstall
 
Is iPhone 4 compatible with WhatsApp?

Why doesn't iPhone 4 have WhatsApp. The reason for not being able to download WhatsApp on your iPhone 4 is most probably because the latest version of WhatsApp is not supported by the older iOS version of iPhone. The iPhone 4 can only run up to iOS 7.1.2 whereas the latest version of WhatsApp requires iOS 8 or higher.12 Ago 2018
 
Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa.
Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2
Wataalamu
Nielezeni jinsi ya kuinstall
hiyo tumia kupiga na kupokea simu, Whatsapp haitopatika tena kwenye hicho kifaa, jaribu kutafuta iPhone 11 labda
 
Huwezi kuinstall na kuregister new number kwa whatsapp on iphone 4, namba inayoweza kutumika ni ile ile tu iliyokuwa inatumika kwenye whatsapp iliyokuwa kwenye hiyo simu.
Apple ashazipiga chini hizo simu muda tu
Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa.
Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2
Wataalamu
Nielezeni jinsi ya kuinstall
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom