whatsapp

  1. Erick Martie

    Kwa wanaotaka Taarifa na Huduma za Scholarships mbalimbali karibu katika WhatsApp group la Education Scholarship....

    Group hili tunatoa huduma Mbalimbali za Kufanya application na taarifa zote zinazohusu Current scholarships available na namna ya kufanya Application mpaka kuweza kutimiza ndoto yako ya kusoma Abroad. Pia kuelimishana namna bora ya kujaza taarifa zako ndani ya Mifumo ya scholarship na vyuo...
  2. 888I

    TANESCO Simanjiro: Je, mnatupa Umeme au mnatulisha "Radhi" za WhatsApp?

    Wakuu wa JamiiForums, habari za muda huu. Nimekuja hapa kuelezea machungu ya sisi wananchi wa Wilaya ya Simanjiro, hususan maeneo ya Terrat, na vijiji vyote vinavyopata umeme kupitia njia za Sinoni na Monduli. Kiukweli hali ya umeme huku kwetu imekuwa ni kero isiyovumilika,Sijui kwa maeneo...
  3. Drax001

    Jinsi ya kuona messages zilizofutwa WhatsApp 'view once' utaziona

    Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu 1. Kuweza kuona messages zilizofutwa na mtu yoyote iwe kwenye groups Au messages ya kawaida. 2. Kuset always online...
  4. Kipenzi Changu

    Nililinyamazia WhatsApp group la Sekondari kutokana na kuchoshwa na vizinga

    Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group. Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa. Kosa nililofanya ni...
  5. Marco Seth

    Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  6. ELI COHEN

    WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

    Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho. Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
  7. Mafyangula

    Polisi Geita: Maadimi wa magroup ya Whatsapp chukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa taarifa za uchochezi

    Kwahiyo tumeanza kupangiana cha kufanya kwenye magroup au sio? ============= Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka viongozi wa makundi Whatsapp kuchukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa taarifa za uchochezi na uvunjifu wa amani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa...
  8. M

    Mange kufungiwa namba ya whatsapp kutapunguza sana ueneaji wa video na picha za matukio ya D9

    Mange alikuwa anafowadiwa matukio mengi kwasababu alipatikana whatsap. karibia kila mtu mwenye smartphone kajiunga whatsapp, wachache wapo instagram, wachache zaidi wapo X. Wenzake kina Hilda, Sativa, Maria n.k. hawaweki hadharani namba zao za whatsapp, hutegemea zaidi Instagram na akaunti...
  9. Fbn

    Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  10. R

    Jamani WhatsApp vipi huko, inapatikana?

    Naona kama wameifungia, kwako vipi?
  11. figganigga

    PostGE2025 Polisi waweka namba hadharani za Wanaotumia WhatsApp kupanga kufanya uhalifu, sheria inasemaje?

    Sheria ya data protection inahusu watu gani? Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya...
  12. R

    GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  13. Cute Wife

    GE2025 Mitandao ya YouTube, TikTok na Signal imeliwa kichwa kama X na Telegram. Facebook, Instagram na WhatsApp kufuatia?

    Wakuu, Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
  14. H

    Mahakama iruhusu WhatsApp na SmS kutumika ktk kutoa wito wa mahakama

    Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza gharama kwa mdai na mdaiwa kama ilivyo kwa e.mail. Mahakama haiwezi kujinadi kuwa imeingia kwenye...
  15. Scott junior

    WhatsApp family group

    Ukiachana na mimi hapa nani mwingine anatokea familia ambaya haina WhatsApp group?😂
  16. Ex Spy

    Shtuka, WhatsApp inaweza kuwa 'Surveillance tool' unayotembea nayo

    Kuna mambo kadhaa katika activities za WhatsApp yanayoweza kufuatiliwa (tracked) hata kama kuna usimbaji fiche wa mwisho-hadi-mwisho (end-to-end encryption), hasa kupitia ukusanyaji wa data-mama (metadata) (kama vile ni nani uliyewasiliana naye, lini, na anwani yako ya IP), udhaifu wa kifaa...
  17. I

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shut

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shutdowns ni moja ya silaha ya serikali nyingi za Afrika. Hii siyo net tu kukatika, ni maamuzi ya makusudi kudhibiti taarifa au kukata mtiririko wa...
  18. Isaka James

    Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  19. W

    Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  20. ERTUGRUL BEY

    Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

    My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu...
Back
Top Bottom