wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

    Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea? Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT? Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

    Huu ni uzi ambao nimekuwa nikiusoma nakuurudia tena na tena, usiku na mchana bila kuchola tangu uliporushwa rasmi. Uzi huu unenifundisha umuhimu wa kufanya maamuzi magumu ili mradi tu kulinda maslahi yangu mapana mimi na familia yangu kama vile Urusi afanyavyo kule Ukraine. Hapa Kerubi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Je wewe ni mkongwe wa shamba au wa mjini? Umeona sinema ngapi kati ya hizi? Watoto nyie subirini kuangalia seasons

  5. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni Mwanasiasa yupi kati ya hawa Wawili Wewe utampenda, utamheshimu na hata Kumuombea Mema katika Siasa?

    Mwanasiasa A Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka Haki dhidi yake itendeke na ikitendeka akitoka hajipendekezi bali anaendelea Kuuwasha Moto wake ule...
  7. JamiiForums Tanzania Takataka ni mtu ambaye anataka mambo mengi

    Je umewahi kusikia mtu anaitwa taka taka?Kama hujawahi kusikia au kukutana na mtu wa aina hiyo basi leo nataka tujadili kuhusu hii tabia ya watu kuwa taka taka.Sasa ili usitetemeke maana ya takataka hapa ni sambamba na maana ya omba omba.Kama ambavyo kuomba kupo asi hata kutaka kupo lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unashangaa au hauoni mantiki ya Putin kuivamia Ukraine basi wewe upo kwenye Kundi la watu hawa

    Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa. One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
  10. JamiiForums Tanzania TCRA hivi mpo kwa ajili yetu ama? Waziri wa Mawasiliwano tusaidie hili

    Habari zenu wanajukwaa. Ninaomba hili suala limfikie mwenye dhamana na haya Mambo yanaboa Sana. Unanunua kifurushi wanakupangia muda wa kutumia. Mfano hapa nimeshajiunga sms za shs1500 kwa Airtel sms 9000. Shida mpaka napangiwa sms za kutuma kwa siku hivi kweli hii ni uungwana ama wao...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Mstaafu na Mtu Maarufu anahitaji Mchango wa matibabu, wewe unadhani uta survive vipi?

    Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo. Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu Business Angel Investors

    Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za kati.Lilikuwa somo zuri sana.Katika moja ya mijadala tulizungumzia kuhusu vikoba na kwa hakika...
  13. JamiiForums Tanzania Mimi na wewe milele...

    Njiwa🐦 peleka salamuu kwa yule wangu muhibu 🥰 Umueleze, afahamu... yeah ndio wangu wa kuzikana...😇. Hali yangu hamuhamu, Mahaba yamenisibuu.. Mchana kutwa nachekaa (tabasamu), na yeye ndio sababu. Na jioni ikifika, kumbato lake nahitaji.. 🤗 Pendo langu kwake halichuji, ndilo laniongezea Mahaba...
  14. JamiiForums Tanzania Ningejua haya yote hata nisinge date na wewe

    yapata miezi miwili sasa rafiki yangu watengane na mchumba wake. chanzo, mgogoro ulianza july mwaka jana mchumba wake alipoombwa waonane akadai yuko bize, akamfata mkoa alipo ili waonane mchumba wake alimjibu yuko bize anatafta hela kwasasa, alipo lalamika sana na kudai kama kapata mpenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Bagonza ameona mema ya Magufuli mimi ni nani!?

    Kwa mara ya kwanza Bagonza kwa kinywa chake anataja upande wa pili wa Magufuli wazi wazi. Kama huyu mwamba(Magu) alikosea naamini ni katika mapungufu yakibanadamu kama mtu mwingine yeyote.
  16. JamiiForums Tanzania Nimkanye nani kati yangu na wewe? Ok nakukanya wewe!

    Kwamiaka kadhaa, Tumejikusanya katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika majukwaa ya kisiasa, kiharakati na humu mitandaoni kutoka kila upande wa dunia. Tukiwa na mvuto wa Gandhi, Nyerere, Mandela, Churchill, Roosevelt, Nkrumah, Toure, Bandaranaike, Somoza, Lenin, Mao, Reagan, Gorbachev, Morales...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

    Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina. Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku kwahiyo na Wewe ulivyokuwa Ukilalamika sana Kipindi cha Rais Kikwete ulikuwa na Shida na Mjinga au?

    "Watanzania wa Siku wamekuwa ni Watu wa Kulalamika tu sijui kwanini na sababu za Kulalamika huwa ni Mbili tu ambapo Kweli Mtu huwa ana Shida na nyingine ni Mtu tu kuwa Mjinga na kutojua Mambo mengi" Mzee Butiku Kada wa CCM na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere. Chanzo: ITV...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
  20. JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokudai fidia pale Unapopata kesi ya kusingiziwa, haipo poa. Itakulinda leo wewe mtawala ila kesho itakugeukia wewe ama wakaribu yako

    Kwa mara nyingine mungu wetu ametupa nafasi hadimu na hadhimu katika hii Dunia, hatuna budi kumshukuru. Nikienda moja Kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Kiukweli nimetafakari vya kutosha kuhusiana na hoja ya kuto kudai fidia pale inapptokea umeshtakiwa kimakosa,haijalishi itakuwa umeonewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…