wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwanini unamuumiza mtu unaempenda (mpenzi) au yeyote yule mwenye kushare hisia na wewe?

    Kwa nini unamuumiza mtu unaempenda? Ni kawaida kujisikia vibaya unapo muumiza mtu mnayependana hasa kama alikuamini sana. Kuna sababu mbalimbali nyuma ya maumivu kwenye mahusiano yako. Lakini matendo yako pia yanaweza kumhathiri mtu unaempenda kwa kiasi kikubwa. -Kuna muda, kumlinda mtu...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

    Kama wikiend hii yote uko mwenyewe mwenyewe tu, huna mpenzi wa kukuweka bize na unamiaka zaidi ya 25 hilo ni tatizo sugu. Ondoka hapo ulipo, oga, piga pamba, nukia vizuri, zunguka zunguka huko mtaani, utapata wa kukuweka bize. Maisha yanatafutwa, hela zinatafutwa, na mapenzi pia yanatafutwa...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi sijawasikia muda katika Vyombo vya Habari tofauti na kipindi cha nyuma. Wewe umemkumbuka nani?

    Awamu ya 5 kuna viongozi waliwika sana hasa kwenye Vyombo vya Habari na mitandao mbali mbali ya kijamii ambao haipiti siku bila kuwaona au kuwasikia ila kwa sasa imekuwa tofauti wapo kimya mpaka kuona kama awapo katika awamu hii ya 6. Wewe unamkumbuka nani? Mimi Mhe. Prof Palamaganda Kabudi...
  4. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania House4Sale Viwanja bei ya ofa vikindu kwa laki saba tu

    OK HII HAIJAWAHI KUTOKEA, NI OFA BABU KUBWAA FUNGA MWAKA KWA KUMILIKI KIWANJA CHA MAKAZI KWA BEI NAFUU. Karibu kwenye mradi wetu mpya wa viwanja kwa bei ya LAKI SABA TU (700,000/=). Hii ni bei kwa wateja watakaolipia kwa Cash. Na LAKI NANE TU (800,000/=) kwa wateja watakaolipia kwa installment...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umenunua kigari cha milioni 15 unakata bima comprehensive. Una akili sawa sawa wewe?

    Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini? Unayatajirisha bure makampuni ya bima. Wewe hunufaiki chochote. By the way, kuna watu wana nyumba zao...
  6. Labani og

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mtanzania na mdau wa soka ungepata nafasi ya kumshauri kocha wa simba Pablo Franco ungempa ushauri gani

    Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania. Kwa mfano SIMBA walifanya...
  7. Pep

    JamiiForums Tanzania Wewe ni Developer/Programmer Mkali? Nakuhitaji!

    Ndugu zangu, Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako. A quick introduction about the project;- Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa sana huyu mdau, wewe unakubaliana nae?

  9. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unachokiona wewe; Wao hawakioni, usiwalaumu

    UNACHOKIONA WEWE; WAO HAWAKIONI, USIWALAUMU. Na, Robert Heriel. Andiko hili lamfaa yeyote, Kwa umri wowote aweza kulisoma. Imetumika lugha laini wala sio Ile lugha ngumu mliyonizoea nayo. Niite Taikon wa Fasihi, Kuhani katika Hekalu jeusi. Kila mtu Yu anamacho yake, yu anaukomo wake wa kuona...
  11. chugaa

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

    Wasalaam JF, Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure yake ipo chini sana , sizungumzii ile exposure ya Kidimbwi na Juliana. Kifupi huyu binti amesoma na...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu anakuona sema Ukweli Wewe uko Kundi ( Daraja ) lipi ( gani ) hapa?

    Ufuatao ni mtiririko wa Ufaulu wa Kitaaluma ( Chuo Kikuu ) kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza ( Bachelor Degree ) na tabia ya Mhusika katika Jamii na hata Maisha yake ya baadae..... 1. FIRST CLASS G.P.A Hawa huwa ni Watu wenye Akili nyingi ila katika Maisha ya Mtaani ndiyo huwa Wafeliji wakubwa...
  13. manchoso

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kiongozi tafadhali changamkia hii fursa

    Iwe ni kiongozi wa kisiasa au wa namna yeyote unaetambulika ima wa jamii au wa mtaa jaribu kuomba hii ukapate exposure na maarifa. kama una mda jaribu kuomba, ukienda huko hupewi pesa ila mambo ya usafiri, malazi na chakula watakugharamia wao. Ama kama unamfahamu mtu yeyote ambae ni kiongozi...
  14. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo wewe si John Pombe Magufuli, ungekuwa yeye na ukafufuka ungefanya nini?

    Nawasalimu wana jamvi kwa jina la Jamii Forums. Hayati JP Magufuli hatafufuka. Hypothetically, kama ingekuwa inawezekana kufufuka, na kama ungekuwa wewe ungefanya nini baada ya kufufuka. Je ungemuita Harbinder Setih Singh na James Rugemalira Ikulu na kuwapa nishani au kuwazaba makofi na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Captain Mbwana Samatta nakuomba tusamehe Watanzania, Taifa Stars ikifungwa mbaya Wewe ila ikishinda Sifa wanapewa Wengine

    Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania ya Taifa Stars. Najua kuwa Taifa Stars ikifungwa basi Sisi Waswahili...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole huijui CCM wewe

    Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa. Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole...
  18. nyboma

    JamiiForums Tanzania Hakika dhuluma haifai leo unaweza mdhulumu mtu ukajiona mjanja kumbe karma inakuwinda pasipo wewe kujua

    Moja kwa moja kwenye historia yangu binafsi ya maisha yangu enzi za utafutaji, ni miaka takribani 27 imepita tangu mshiriki wangu katika biashara akimbie na fedha zote na mtaji na kutokomea kusikojulikana, kwa ufupi ni kwamba huyu bwana miaka hiyo enzi za utafutaji niliungana nae tukawa...
  19. Digging deeper

    JamiiForums Tanzania Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

    Kwangu mimi user name zinazonivyutia ni Mzee Mwanakijiji @ financial servise Chief mkwawa @bak. Je wewe mdau mwezangu ni user name gani inayokuvutia
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

    WATOTO WETU WOTE WATAINGIA FORM 1 MWAKA HUU HATUNA SECOND SELECTION TUMEJENGA MADARASA YA KUTOSHA RAIS AMETOA 842 BILIONI alisikika kiongozi mmoja akinadi kwa bashasha na masham sham sera za Chama
Back
Top Bottom