Kama wewe ni Mdau wa soka Tanzania tuungane kuiombea Dua Yanga dhidi Ya Rivers Ishinde

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,289
8,284
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!

OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?

Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee. SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata ya Kucheza dhidi ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.

Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite.

Yanga Ipite jamani.

Yanga IPITE round hii.

Bila kujari mdomo wa Msemaji. Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.

Ni hayo tu.
 
Tatizo Watu wabishi sana.

Cc: .....

(Hua nacheka sana) ila mimi ni mnafiki au ndio mrithi wa warumi (R.I.p)
 
Kwakweli dua zote tunawaombea YANGA mshinde ...mtainua Taifa..mtainua na team ivi ni raha ilioje wanayoipata portugese kumuona Cr7 na Bruno wanacheza team kubwa duniani na wanakiwasha vbya mno?? Mechi za kimataifa ni muhimu sana kushinda
All ze besti YSC
 
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!
OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?
Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee.SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata Ya Kucheza dhidi Ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.
Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite...!
Yanga Ipite jamani..!
Yanga IPITE round hii...!
Bila Kujari mdomo Wa Msemaji....! Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.
Ni hayo tu.
Hawa wahuni wanamdomo sana wapigwe tu warudi nyumbani waendelee na kazi wanayoiweza ya kuilaumu TFF na kuloga.
CcShadeeya
 
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!
OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?
Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee.SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata Ya Kucheza dhidi Ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.
Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite...!
Yanga Ipite jamani..!
Yanga IPITE round hii...!
Bila Kujari mdomo Wa Msemaji....! Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.
Ni hayo tu.
Hakuna cha nchi yote ,utopolo watajua Mpira sio maneno wenzao river united wanajipima kwa mechi za ndani,wao uto wanakesha kweny media Nigeria uto hatoboi.
 
Yanga hawana Fair Play kabisa, hata hivyo wamebebwa kucheza kimataifa hawajawahi kuishukuru Simba kwa kuwabeba.
Mwaka jana kazi yao ilikuwa.
1. Kuwapokea wageni
2. Kuwaongopea kuwa Simba inapuliza madawa vyumbani ili kudhoofisha timu pinzani, hadi kupelekea timu ngeni kugoma kuingia vyumbani.
3. Kuwashangilia kwa nguvu zote wageni.
4. Wakafika mbali hadi kuanza kuwapiga washabiki wa Simba uwanjani mfano Bigi.
Nakadhalika
Waache wafungwe tu warudi kuwalaumu Marefa na TFF.
Hawana Fair Play kabisa hawa wajitu.
 
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!
OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?
Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee.SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata Ya Kucheza dhidi Ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.
Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite...!
Yanga Ipite jamani..!
Yanga IPITE round hii...!
Bila Kujari mdomo Wa Msemaji....! Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.
Ni hayo tu.

Unafiki sipendi,Rivers jipigie Utopolo kadri upendavyo.Simba tutapambana hadi nusu fainali ikiwezekana fainal mwaka huu tukisaidiwa na Azam na Biashara.
 
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..!
OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi nyingine. TUIOMBEE Yanga Afrika ISHINDE....! Kwa nini nasema hivyo?
Katika Nafasi 4 za Tanzania CAF, Biashara Shinyanga na Azam FC Wamefanikiwa Kuzilinda Zisipotee.SIMBA S.C iliyozipigania Nafasi Hizo kupatikana (Hakuna Ubishi Kwa hilo, hiyo ni FACT) itaanzia Round inayofuata. Sasa ni Yanga ndiye anayo Karata Ya Kucheza dhidi Ya Rivers Kulinda nafasi Zetu 4 Kama nchi Round ipite bila TZ Kujeruhiwa.
Ombi Watanzania Wote tuungane kuomba DUA Yanga Ipite...!
Yanga Ipite jamani..!
Yanga IPITE round hii...!
Bila Kujari mdomo Wa Msemaji....! Nafasi Zetu 4 Ziendelee kuwapo round inayofuata ili Mwakani TZ Iwe na Washiriki Wa 4 tena.
Ni hayo tu.
Hawa hawa ambao huwa wanaenda kupokea wageni 'eapoti'?
 
Back
Top Bottom