wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi utakavyokuwa usipoanza kupanda mlima na wewe

    JINSI UTAKAVYOKUWA USIPOAMUA KUPANDA MLIMA NA WEWE Hapa mlima ninaoumaanisha ni maisha yako, kwa mfano unataka kufanya jambo flani na ukaulizia kwa wengine waliofanya jambo kama hilo, na walipokupa mbinu hukuchukua hatua ili na wewe ufike walipofikia au ujionee mwenyewe. Kwa mfano unataka...
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga, tabia iliyonikera ni Mtu mzima na akili zake anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili, wewe je ?

    Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
  4. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Nipo tayari kuhesabiwa, je wewe?

  5. A

    JamiiForums Tanzania Mimi niko tayari kuhesabiwa. Wewe je?

    Habari Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ukiumiza watu kwa kudhani wewe ni mzalendo sana kumbuka ukiondoka Nchi ina baki palepale wanachukua wengine

    Ndugu wanajamii naungana na Paul Mayalla ktk makala zake za Kwa Maslahi ya taifa. Tukiwa ktk wikendi hii ni vema tukatafakari jambo hili. Kumbe cheo ni dhamana. Siasa ni swala la kitaifa sio la mtu binafsi na kwamba usijimilikishe michakato ya kitaifa kufika hatua ya kuumiza watu wengine ili...
  7. JamiiForums Tanzania Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

    Wiki ijayo ya Agosti 23 ni siku ya sensa ya watu na makazi, tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa. Japo Sensa ni data collection of demographical data za kujua Tanzania tuko watu wangapi ili kuweza kujipanga vizuri kimipango mkakati, je Kuna ubaya wowote kama katika hojaji za Sensa pia tukiwauliza...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania hii ya leo kama hauna pesa wewe si lolote si chochote

    Kwa muda mrefu habari hizi za kutafuta hela tunazisikia kila siku imefika wakati maana hasa ya maneno haya inapotea. Ni mpaka hapo utakapokua na kupitia experience fulani ndiyo utaelewa uzito na ukweli wa maneno haya. Tanzania hii ya leo watu tunadharauliana sana. Sisemi kama zamani mitazamo...
  9. JamiiForums Tanzania Ishara zinazoonyesha wewe sio mtu wa kukata tamaa

    • Unacheka unapoanguka au unaposhidwa jambo • Hushindani na mtu lakini unajishindania mwenyewe na malengo yako. • Ni mtu unayeamini kwamba hali ngumu unayopitia ni shule. Magumu hayadumu ni swala la muda tu. • Upo tayari kwa mabadiliko yoyote. • Unafahamu vipaumbele vyako hukurupukii kila...
  10. JamiiForums Tanzania UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Habari wana JamiiForums, kwa bahati mbaya au nzuri, mambo mengi ambayo naandika au natamani kushare humu yashaongelewa tayari , na hata hii kitu ambayo naandika saa hivi. Freelancing. Though, approach nlioona inatumika na wengi ni tofauti kabisa na ile ambayo nimekuwa nikitumia hivyo naona ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke akijua wewe ndiyo wake wa maisha, hakupi papuchi. Mwenye hela barafu ya shida za moto

    Habari, Mwanake anayekupenda, si rahisi kukupa mali yake uichakate. Anakuweka bench, sababu anajua utamchakata maisha yake yote. Ukikata tamaa utamkosa. Anakuweka kwenye vipimo vya kila aina hadi kubusiana na wanaume wenzako mbele yake. Ukikata tamaa ndo basi. Unashangaa anakuja jamaa na hela...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujibu swali la wewe ninani kwenye usaili

    Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na uzoefu wako. Amini ninapokuambia kuwa, wala hahitaji kujua kabila na mkoa uliozaliwa. Anahitaji madini ya...
  13. JamiiForums Tanzania Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

    Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k. Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta. Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako. Na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kinana please ongelea suala la bando, wewe pekeee ndiye unayesikilizwa nchi hii kwa sasa

    Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

    Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake??? Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu 5 za wewe kuwepo ulipo sasa

    Wengi tunaamini kwamba kila kitu kilichopo hapa duniani kina sababu ya hicho kitu kuwepo. Na hii Ikanipelekea kutafiti sababu zinazotufanya tuwepo katika hali tulionayo kwa sasa. ZIFAHAMU SABABU (5)ZA WEWE KUWEPO ULIPO SASA. 01. UFAHAMU NA TAARIFA TULIZONAZO JUU YA MALENGO YAKO. Ufahamu ni...
  17. JamiiForums Tanzania Hassan Bumbuli, hebu tembeza fitna Haji Manara atoke kabisa Yanga, wewe unatosha

    Namshauri Hassan Bumbuli asimuonee huruma huyo Haji Manara, amuombee njaa afukuzwe kabisa katika tasnia ya mpira. Aina ya utendaji wa Bumbuli ni wa kitaalamu kabisa, hana mambo ya kihunihuni. Hii ni fursa kwa Bumbuli kumuondoa kabisa Haji Manara, na sio kumsaidia
  18. JamiiForums Tanzania Haya mengine ongezea wewe 👇👇👇👇

  19. JamiiForums Tanzania Mimi napenda nyama wewe unapenda nini?

    Aiseeeh mimi ugonjwa wangu kwa hawa wanawake ni nyama, yaani nikiuona tu mzigo mimi hoi.
  20. JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

    Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo. Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…