Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,892
Tuambieni wewe ni handsome au gentlemen? Haya tuanze kuwapima watu kama mnajua kutofautisha hii misemo
Nitampatia wapi??I am a handsome man and a gentleman 😬 mulize mke wangu😊
Niko nae hapa namuliza ananijibu ndio. Namuliza why?Nitampatia wapi??
Jibu acha shidaNani ameruhusu wanafunzi kwenda shuleni na simu.
Why bothBoth
Sawa ila lazima ujue kutofautishaSikia
Somehand hajijui
Mangentle hajijui
Wanaojua ni wanaomzunguka
Crash😍Mnaitwa hukuu
Ndio hivyoSawa ila lazima ujue kutofautisha
I am Handsome, chivalrous, courteous, and honourable man. On top of this... i have money na siringi 🤷Why both
Kwenyeuelewa wako gentlemen ninani na handsome ninaniNdio hivyo
Ladysexy hajijui
Fulbeauty hajijui
Wanaojua ni wale wanaomzunguka
OkKwenyeuelewa wako gentlemen ninani na handsome ninani