Rais Samia usipende kila mara 'Kuingizwa Chaka' hivi bali shtuka mapema kwani unaniangusha sana tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,177
"Mtendaji Mkuu wa DAWASA ameniambia ukiacha hii hali ya ukame tunayopitia Dar es salaam upatikanaji wa maji upo asilimia 94. hii ina maana kwamba tupo karibu sana au tumeshafikia ile asilimia tuliyoelekezwa na CCM ya asilimia 95" - Rais

Chanzo: EATV

Mimi GENTAMYCINE siyo Mathematician kama Mkurugenzi wa NEC Poti wangu wa Kizanaki Dk. Mahera au Marehemu Profesa Ngowi ila kwa hii hii Hesabu yangu ya hapa na pale ( ya Kubahatisha ) ukisema 94% Maji yanapatikana hapa unamaanisha Jiji lote la Dar es Salaam sasa lina Maji, hatunuki tena Vikwapa na kwamba labda sehemu isiyo na Maji ndogo mno kama kusema Msasani Maandazi Road kuja mpaka usawa wa Namanga au Ada Estate.

Mama ( Rais ) una uhakika kuwa Mkoa wako huu wa Dar es Salaam sasa hivi upatikanaji wa Huduma ya Maji ni hiyo 94% uliyoitaja baada ya Kudanganywa ( Kuingizwa Chaka ) na hao ( hawa ) Dawasa?

Mama ( Rais ) una habari kuwa sasa unaenda Mwezi wa Pili huu Watu wa Ushuani ( Oysterbay ulikokuwa Unaishi ) na Masaki yote hadi kule anakoishi Mzee Wetu na Mwanadiplomasia Nguli ( Ngwena ) Salim Ahmed Salim na kwa Hayati Rais Mstaafu Mkapa hawana Maji?

Halafu Mama ( Rais ) upatikanaji wa Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam unahusiana nini na CCM yako? Kwahiyo wana CCM pekee ndiyo Wanaooga na wenye Shida ya Maji ila Wapinzani na Sisi Watu Neutral akina GENTAMYCINE ndiyo hatupaswi kuyapata na hatuyahitaji hayo Maji?

Binafsi huwa sipendi kabisa Kukusema kwani ukiachilia mbali kuwa Wewe ni Rais wangu ila pia ni kama Mama yangu vile hivyo ukiwa Unavapa ( Unakosea ) kila mara na Kuingizwa Chaka na Watendaji au Wasaidizi wako huwa najisikia vibaya sana tu.

Hali ya Maji Dar ni mbaya sana Rais!!!

Cc: bolivia
 
Naunga hoja mkono, hali ni mbaya kwa dobi nguo kwa sasa naambiwa elfu moja kufulia maji baridi na miatano kwa nguo kufulia maji chumvi hali sio nzuri kabisa
 
Sio waongo ni mafedhuri naona maza kuna issue nyingi anadanganywa tu halafu wajanja wanamkeep busy na ratiba nyingi akikaa ndani ya nchi siku tatu utaona siku ya tano anakua nje hiyo yote mafisadi wapate upenyo wa kupiga pesa kiulaini
Umeandika Kitu kizuri na cha Ukweli kabisa, ila suburia sasa Praise Team yake inayoongozwa na Majuha ( Fools ) watakavyokuja Kukupinga na hata Kukushambulia.
 
"Mtendaji Mkuu wa DAWASA ameniambia ukiacha hii hali ya ukame tunayopitia Dar es salaam upatikanaji wa maji upo asilimia 94. hii ina maana kwamba tupo karibu sana au tumeshafikia ile asilimia tuliyoelekezwa na CCM ya asilimia 95" - Rais

Chanzo: EATV

Mimi GENTAMYCINE siyo Mathematician kama Mkurugenzi wa NEC Poti wangu wa Kizanaki Dk. Mahera au Marehemu Profesa Ngowi ila kwa hii hii Hesabu yangu ya hapa na pale ( ya Kubahatisha ) ukisema 94% Maji yanapatikana hapa unamaanisha Jiji lote la Dar es Salaam sasa lina Maji, hatunuki tena Vikwapa na kwamba labda sehemu isiyo na Maji ndogo mno kama kusema Msasani Maandazi Road kuja mpaka usawa wa Namanga au Ada Estate.

Mama ( Rais ) una uhakika kuwa Mkoa wako huu wa Dar es Salaam sasa hivi upatikanaji wa Huduma ya Maji ni hiyo 94% uliyoitaja baada ya Kudanganywa ( Kuingizwa Chaka ) na hao ( hawa ) Dawasa?

Mama ( Rais ) una habari kuwa sasa unaenda Mwezi wa Pili huu Watu wa Ushuani ( Oysterbay ulikokuwa Unaishi ) na Masaki yote hadi kule anakoishi Mzee Wetu na Mwanadiplomasia Nguli ( Ngwena ) Salim Ahmed Salim na kwa Hayati Rais Mstaafu Mkapa hawana Maji?

Halafu Mama ( Rais ) upatikanaji wa Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam unahusiana nini na CCM yako? Kwahiyo wana CCM pekee ndiyo Wanaooga na wenye Shida ya Maji ila Wapinzani na Sisi Watu Neutral akina GENTAMYCINE ndiyo hatupaswi kuyapata na hatuyahitaji hayo Maji?

Binafsi huwa sipendi kabisa Kukusema kwani ukiachilia mbali kuwa Wewe ni Rais wangu ila pia ni kama Mama yangu vile hivyo ukiwa Unavapa ( Unakosea ) kila mara na Kuingizwa Chaka na Watendaji au Wasaidizi wako huwa najisikia vibaya sana tu.

Hali ya Maji Dar ni mbaya sana Rais!!!

Cc: bolivia
Nimekupa like kwa kusema ukweli.
Hyo jamaa Mkurugenzi Mkuu wa DAWASA ni hewa sana.
Huwa anatoa ahadi za kufunika kombe wanaharamu wapite!
Mfuatilieni kwa karibu sana.
Hajawahi kutabiri juu ya uksefu wa maji jijini na kutoa angalizo.
 
Hawa viongozi walishatuona sisi ni mapimbi ndo maana wanasema uongo bila hata woga ila km kuna siku tukawabadilikia watatuheshimu.Unakuta mtu anaongea uongooo kabisa hata soni haoni dar sehem zenye maji ni chache mno asilimia kubwa ni visima binafsi.
 
GENTAMYCIME Rais Samia hakika amefanya kazi nzuri ya kuenzi kazi za watangulizi wake. Tatizo linalomsumbua ni mfumo dume. Yaani kuna vijeba vimejipanga kuhakikisha Rais Samia vinampatia info au data za uongo na akiziongea unakuwa ushahidi. Chukua tu mfano wa status ya uchumi wa Tanzania. Waziri wake wa fedha kasema tupo uchumi wa kati. Yeye wakamuandalia hotuba ya kusema eti tumeshashushwa na yeye kakiri kwa kinywa chake. Madhara yake nini? Ni kuwa ikija 2025 watasema hivi Rais Samia hafai kabisa kuongoza nchi kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na uongozi wake mbovu ulipelekea tukashushwa mpaka uchumi wa kati. Hata kama Mwigulu ni Muongo ila Rais Samia anadhani watanzania eti wapo naye, hapana. Rais Samia mpaka sasa hana mashabiki kabisa kila kona anatukanwa na kudhauriwa kwa kukosa uthubutu. In short Rais Samia anaonekana hafai kabisa na watanzania walio wengi wanamchukia kwa sababu wanaona ni msaliti wa maendeleo yaliyoasisiwa na Dkt Magufuli. Mi msimamo wangu ni kuwa Rais Samia ni kiongozi mzuri sana ila kazungukwa ma watu ambao inaoekana wanautamani urais wake.
 
Nimekupa like kwa kusema ukweli.
Hyo jamaa Mkurugenzi Mkuu wa DAWASA ni hewa sana.
Huwa anatoa ahadi za kufunika kombe wanaharamu wapite!
Mfuatilieni kwa karibu sana.
Hajawahi kutabiri juu ya uksefu wa maji jijini na kutoa angalizo.
Kwa lile Tumbo lake kubwa kama Tenki la Maji Goba ulitegemea kabisa Akili zitajihifadhi Mwilini mwake?
 
Hawa viongozi walishatuona sisi ni mapimbi ndo maana wanasema uongo bila hata woga ila km kuna siku tukawabadilikia watatuheshimu.Unakuta mtu anaongea uongooo kabisa hata soni haoni dar sehem zenye maji ni chache mno asilimia kubwa ni visima binafsi.
Usijali Mkuu muda unakuja na ipo Siku.
 
Back
Top Bottom