wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hupaswi kutafuta fedha, unapaswa kujiongeza thamani ndipo fedha zitakutafuta wewe

    Mtu anayetafuta pesa ataishia kupata pesa ya kula siku moja au mbili kisha atakuwa mtumwa daima. Yaani kila akitaka kufanya jambo lazima ahangahikie pesa ya hilo jambo kisha atalifanya kwa taabu na kurudi tena kuhangahikia fedha . Itakuwa ni cycle ya maisha yake mpaka uzee au kifo No rest time...
  2. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nini kifanyike bajaji na bodaboda kutosimama kwenye zebra?

    Habari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra. Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

    Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama...
  4. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania January Makamba tunajua Hayati Magufuli alikubatiza kwa moto, Unapoteza muda tu

    Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja. Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja. Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu. Wewe pamoja na kinana mlikuwa na...
  5. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Acha uzinzi, unajimaliza wewe mwenyewe

    Kumekucha! Baada ya kuwapopoa wanawake ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women). Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze. Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi. Ni tendo lisilokata kiu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

    Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono. Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana imetangazwa kwamba Bi. Kiguu na Njia [nasikia jana katua Nigeria huko]naye ataanza tena huo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Unadeal vipi na Mwanamke anaelalamika pesa unayompa haimtoshi kisha anakubana kwenye 18 aipate wapi wakati yupo na wewe tu, au umpe ruhusa adange?

    Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda. Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa hakuombi hela au akiomba ni kidogo tu, ila sasa anakwambia kaamua awe na wewe serios relationship so ni...
  10. mkushiOg

    JamiiForums Tanzania Utatendewa namna ambavyo na wewe unamtendea mwenzi wako

    Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member. Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya nje huko. Sasa wewe huonyeshi mahaba kwa mkeo michepuko imekuzidiaa tendo la ndoa ni lakutafuta...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

    Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha. “Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
  12. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Kama ungekuwa wewe ungefanya nini?

    "Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani. Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa. Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Kwema Wakuu! Kuna aina tatu za Maskini. 1. Maskini wa kutupwa (Fukara) 2. Maskini wa kawaida 3. Maskini aliyechangamka. 1. Maskini Fukara Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
  15. Candela

    JamiiForums Tanzania Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

    Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10. Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.
  16. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach. Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ifike muda ujanjaruke na wewe, kataa kufanywa fursa isiyo na faida kwako

    IFIKE MUDA UJANJARUKE NA WEWE KATAA KUFANYWA FURSA ISIYO NA FAIDA KWAKO. 1.Unakubalije kuwa na mtu ambaye kila akikutafuta basi ana shida. 2.Unakubalije kuhusiana na mtu ambaye bila wewe kumtafuta basi mahusiano ndio yanakufa . 3.Unakubalije kuwa na rafiki ambaye anataka umtimizie mambo yake...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulipata Hisia gani baada ya wewe na mkeo kupima Ukimwi na kukuta mpo Salama?

    Kwema! Katika vitu nilikuwa naogopa ni kupima VVU. Ukimwi sio poa aseeh! Kwa sisi tuliouona miaka hiyo Watu wakiugua huo ugonjwa tumeathirika kisaikolojia. Hasa sisi wanaume ndio tunaogopa zaidi. Haya. Embu eleza hisia ulizopata baada ya wewe mkeo kupima na kupata matokeo negative, yaani mpo...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi unataka uwapangie watu ratiba za kula?

    Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo. Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa? Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
  20. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Redio: wewe ulisikiliza mchezo gani?

    Mimi nakumbuka 1. Twende na Wakati - Radio Tanzania 2. Pilika pilika - TBC Taifa 3. Wahapa hapa - Radio free Africa Karibu tukumbushane
Back
Top Bottom