wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  2. JamiiForums Tanzania Ukimuua huyu nyoka kama wewe ni mchimbaji fukia hilo duara rudi kijijijini ukalime

    Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za kutosha kabisa. Mara nyingi hupatikana maeneo ya mgodini narudia huyu nyoka hua ni baraka kubwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Wewe umepitia na kukulia kwenye TOXIC parenting?

    Imekuathiri vipi kwa maisha yako ya ukubwani?. Je umekulia kwenye familia ambapo wazazi Walikuwa na excessive controls na kukudhibiti kwa kila hatua yako ya ukuaji kiasi cha kukuathiri kisaikolojia? Wanatumia njia ya kukunyima chakula, kukunyima usingizi na kukufanyia body Shaming kama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 28 ya Benki ya Exim Tanzania: Safari ya Ukuaji, Ubunifu na Kusonga Mbele Pamoja na Wewe

    Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Jaffari Matundu (kulia), akikata keki wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya benki hiyo yaliyofanyika makao makuu yake jijini Dar es Salaam, Agosti 15, 2025. Kushoto ni Eugen Massawe, Mkuu wa Uendeshaji wa Matawi ya benki hiyo. Afisa Mtendaji Mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  6. JamiiForums Tanzania Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe

    Nimesoma Nyuzi, Hapa Jamaa anasema Ndoa imemshinda, Katika ulimwengu huu, Furaha ya kweli ni Wewe mwenyewe usitegemee kupata Furaha Kutoka kwa watu pasipo wewe kujipa Furaha. Tumia Fedha Mali ulizo nazo kujipa Furaha, ila zingatia kua mwanadamu asiwe Sehemu ya Furaha yako. Chagua Vitu ndo vie...
  7. E

    JamiiForums Tanzania MAMA SAMIA HANA KIPENGELE LABDA KIPENGELE UJE NACHO WEWE

    Sina mengi ya kuongea, Kipengele uje nacho wewe Asanteni sana
  8. JamiiForums Tanzania Feisal Salum "Fei Toto" kachemka hili swali, wewe ungeweza?

  9. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Hufananii na vitabu unavyosema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

    Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani. Mimi naogopa sana watu...
  10. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  11. JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  12. JamiiForums Tanzania Wewe na simu yako ni nani anayemiliki mwenzake?

    Tuseme ukweli bila kupepesa macho Unalala nayo kitandani Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni. Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  14. JamiiForums Tanzania Je wewe ungafanya nini?

    Baada ya miaka 12 ya kutafuta bila mafanikio, hatimaye James Howells ameamua kuachana rasmi na jitihada zake za kuipata diski kuu (hard drive) aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013. Ndani ya diski hiyo kulikuwa na takribani Bitcoin 8,000, ambazo kwa sasa zina thamani ya takribani dola milioni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  16. JamiiForums Tanzania Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

    Mm ni kijana wa 96 hivi lakini watu wengi huniona na kunikadiria mm kama kijana wa 80.
  17. JamiiForums Tanzania Madereva hapa ku overtake ni salama?

    Wakuu, nipeni jibu hapo chini kama ni wewe unge overtake hapo?
  18. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    1: Rambo (1, 2, 3) 2: Predator 3: Commando 4: Sarafina 5: Neria 6: Blood sport 7: Enter the dragon 8: Drunken master 9: Rocky 10: Tai chi master 11: Lion king 12: Titanic 13: Anaconda 14: Coming to america 15: Blade 16: Friday 17: Scarface 18: Terminator (1, 2) 19: Deadly prey...
  19. JamiiForums Tanzania Kunizungusha sana sio kama ndio nitakuona wewe sio Malaya au sio rahisi

    KUNIZUNGUSHA SANA SIO KAMA NDIO NITAKUONA WEWE SIO MALAYA AU SIO RAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya mambo ambayo yananifanya nimshushe mwanamke nyota zake hasa za kiutambuzi na kumwona ni wale wanawake wa standard za kawaida ni kuwa na mtazamo usemao kuwa kumzungusha mwanaume au...
  20. JamiiForums Tanzania Watu huja na kuondoka, utabaki wewe na Familia yako, hata Mti huchipusha nà kupukutisha, Using'ang'anie Watu

    WATU HUJA NA KUONDOKA, UTABAKI WEWE NA FAMILIA YAKO. HATA MTI HUCHIPUSHA nà KUPUKUTIAHA MAJANI. USING'ANG'ANIE WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya kosa ambalo utalifanya ni kutokutambua kuwa watu ulionao sasa hivi wapo lakini hautakuwa nao siku zote. Watu huja na kuondoka. Kanuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…