weusi

  1. JamiiForums Tanzania Ajenda za ufeminia, mapenzi ya jinsia moja, kulazimisha uwepo wa watu weusi, kumenipunguzia hamu ya kuangalia filamu/tamthilia za kisasa za Marekani

    Feminism – hawa feminists ajenda yao ni kutumia nguvu kubwa kuproove kwamba wanawake wapo sawa na wanaume na wanawake inabidi wapewe kipaumbele, huko Hollywood ndio wameona iwe sehemu ya kupush ajenda zao. Mfano kwenye muvi ya Wakanda kutoka Marvels iliyotuwakilisha vema waafrika wameona ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

    Nauliza tu taifa hilo why halina watu weusi wakati mataifa jirani yao wamejaa tele.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunakwama wapi?

    Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana. Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea. Hivi ni kweli kuwa mtu mweusi amelaanika?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa

    Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

    Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie. Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu...
  7. JamiiForums Tanzania NADHARIA Vyakula vya mbegu vya GMO vipo kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi

    Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi. Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

    Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo. GMO ni nini? Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au...
  9. JamiiForums Tanzania Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  10. JamiiForums Tanzania Napenda sana wanawake rangi ya chocolate au weusi kidoogo

    Asiwe mweusi si yaani kama balaa. Nataka mtoto ambaye sio crazy coloryaani inapendezansana
  11. JamiiForums Tanzania Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

    Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei. ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu wengine. na japo kosa haukulifanya wewe walifanya watu wengine ila ungetudanganya basi hata kwa neno...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

    Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake. Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu...
  13. JamiiForums Tanzania Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Acheni kutumia picha za watu weusi kuripoti mlipuko wa monkeypox!

    Hivi karibuni, ugonjwa wa monkeypox umeendelea kuenea katika nchi za magharibi. Tangu tarehe 13, nchi 23 zikiwemo Marekani na Uingereza zimeripoti maambukizi zaidi ya 250 yaliyothibitishwa na zaidi ya maambukizi 100 yanayoshukiwa kwa WHO. Hata hivyo, Reuters, BBC, ABC News na vyombo vingine vya...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyeua Watu Weusi 10 kwa risasi alipanga kuendelea za tukio kama hilo sehemu nyingine pia

    Kijana Payton Gendron, 18, ambaye aliwaua watu 13 kwa kuwafyatulia risasi, 10 kati yao wakiwa wenye rangi nyeusi inaelezwa alipanga kufanya mauaji zaidi kama angetoroka eneo la tukio Jijini New York, Marekani. Kamishna wa Polisi, Joseph Gramaglia amesema: “Alitaka kwenda kwenye gari alekee...
  18. JamiiForums Tanzania Ukraine: upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema

    Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema CHANZO CHA PICHA,EPA Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Uyaudi na watu weusi

    Leo naendelea na huu uzi pale ambapo niliishia mara ya mwisho.. Baada ya kuona ushahidi wa wana historia mbalimbali juu ya uwepo wa wayahudi weusi ndani ya Afrika kaskazini na Afrika ya magharibi... leo nitatoa ushahidi wa wana historia na kuonyesha kuwa wayahudi weusi walijenga Empires za West...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani nchi za watu weusi kuwa mwanachama wa Arab league?

    Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki gani? Je, ukitokea mgogoro wa nchi ya kiarabu na kiafrica kama ilivyo mgogoro wa bwawa la umeme la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…