weusi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wachina waonja shubiri ya ubaguzi wao dhidi ya watu weusi

    Mwandishi wa hii makala anaitwa Clare C, ni mtu aliyesoma China, anaelezea alivyokuwa akibaguliwa na wachina kwa mfano alikuwa akikaa kwenye seat kwenye chombo cha usafiri wachina wananyanyuka, wanadai eti waafrika tuna HIV na Ebola. Alikuwa akipita njiani wanamchukua video, wanamkodolea macho...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

    Nimejaribu kufuatilia pattern ya kusambaa kwa huu ugonjwa wa Corona, nimebaini japo huwa unapenda sehemu za baridi, lakini pia umekuwa ukiwapitia mbali watu weusi wenye asili ya Afrika Hata huko China Waafrika weusi wapo, lakini naona kama wanaogelea bwawani bila kulowa, ugonjwa unawakwepa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAFITI: Wanawake weusi wana uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya matiti kutokana na kutumia madawa ya nywele

    Wanasayansi wamegundua mahusiano ya kutatanisha kati ya saratani ya matiti na madawa ya nywele na kemikali ambazo hujulikana kama relaxers. Utafiti mpya unaonesha kuwa wanawake ambao walitumia bidhaa hizi walikuwa na uwezekano wa kupata saratani ya matiti kuliko wanawake wengine ambao...
Back
Top Bottom