weusi

  1. JamiiForums Tanzania Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  2. JamiiForums Tanzania Hii dunia ni yetu pekee na watu wote ni watumwa wetu (kumbukumbu zangu Juni 17, 2020)

    Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na...
  3. JamiiForums Tanzania Usiogope kuvunja miiko kama unaona imeshapitwa na wakati: Abe na NBA dhidi ya watu weusi

    Ni miaka ya nyuma sana, Wazungu walikaa chini na kugundua michezo mbalimbali ambayo ingewafanya kuinjoi maisha, kutengeneza pesa na kupata vitu vingine, hapo ndipo walipogundua mchezo wa kikapu (Basketball). Ulikuwa mchezo mzuri tu, haukuwa ukipendwa sana, walikuwa wanacheza Wazungu tu...
  4. JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari Sudan, weusi wasio na asili ya Kiarabu wasakwa na kuchinjwa

    Haya mauaji yamejirudia kama yalivyokua 2003, ambapo wapiganaji wa Kiarabu huzunguka mlango kwa mlango na kuchinja mweusi yeyote asiye na asili ya Kiarabu.... ======================== The governor of Darfur on Tuesday called for an international investigation into violence against residents of...
  5. JamiiForums Tanzania Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutembea na wasichana wadogo

    Mwanaume unaweza kusex na mwanamke mwenye weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs)? Kama unaweza basi jua wewe ni jasiri ambae unaweza hata kutafuna jongoo. Binafsi siwezi kabisa labda kwa mkwassa (bastola) mbaya zaidi awe pia na stretch marks kwenye mapaja coz nitamuacha right away...
  6. JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili weusi usijitokeze baada ya kunyoa ndevu?

    Nimekuwa nanyoa ndevu mara kwa mara kwakuwa kibarua changu hakiruhusu kuwa na ndevu. Sasa nimeanza kutokewa na weusi. Nini nifanye ili nisiwe na weusi baada ya kunyoa ndevu? Naombeni mbinu
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea. Unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu 😊😊 Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni 🌹🌹🌹🌹
  8. JamiiForums Tanzania Waarabu wanaendelea na kampeni ya kuteketeza waafrika weusi huko Darfur

    Wakati huku Tanganyika tukiwakaribisha waarabu kwa mikataba yenye utata, hapo jirani waarabu hawahawa wapo kwenye kampeni kali ya kuwaangamiza binadamu wote weusi kwa mwonekano wa ngozi zao. Nionavyo mimi, ni muda tu hawa watu watatugeuka na kuanza kuendesha kampeni ya kutuangamiza ili wabakie...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu nchi makini kama China au Urusi haiwezi kukaribisha watu weusi kiholela nchini kwao

    Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Messi hachukuliwi hatua kwa kubagua wachezaji weusi?

    Tunaona wachezaji mbalimbali wakipewq adhabu kali kwa kutoa lugha za ubaguzi mfano Luis Suarez, John Terry na hata club ya Valencia kupigwa faini kubwa kwa mashabiki wake kumbagua Vinicius Iweje Messi anatukana wachezaji weusi matusi ya kibaguzi halafu anaachwa tu?
  12. JamiiForums Tanzania Deep down wazungu wengi wanajuta kuwapeleka watumwa weusi, hasa Marekani

    Ukiachana na wale watu maarufu, Ukifatilia kwa karibu maisha ya black American wengi sio ya kistaarabu, ni bora watu weusi wanaoenda kwa kufanya kazi kuliko wale waloizaliwa pale pale, wana mambo ya hovyo na yenye kuaibisha black community. Nadhani wanatamani bora wangechukua latino.
  13. JamiiForums Tanzania Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi waokolewe toka kwa wakoloni weusi

    Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
  15. JamiiForums Tanzania Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

    Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa. History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors. History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo...
  16. JamiiForums Tanzania Nywele ndefu zinazovaliwa na wanawake weusi zilitolewa sadaka kwa miungu huko nchini India

    Kazi kwenu warembo wetu. https://indianhair.net/blogs/journal/real-indian-temple-hair-all-you-want-to-know
  17. JamiiForums Tanzania Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........) Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Hali ya maisha kwa watu weusi yazidi kuwa mbaya USA

    Kwa kawaida watu wengi wasio na makazi nchini USA ni wale wa asili ya Afrika, sasa najiuliza, kundi hili tu ndio wavivu wa kufanya kazi? Kundi hili tu ndio wahanga wa madawa ya kulevya? Au ni tatizo la kimfumo zaidi? Lakini pia, kwenye video hapo chini, kwa siku za hivi karibuni, na wale wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tatizo kubwa la waafrika weusi kubaguliwa Tunisia ni kasi ya kuzaa na wanawake wao

    Uhusiano kati ya wanaume weusi na wanawake wa Tunisia kufikia hadi kuzaa imeshika kasi hadi kuwashtua. Mahusiano kama hayo hayakuwepo zamani. Kwa miaka ya karibuni hali imekuwa tofauti na kuleta wivu na chuki. Wahamiaji kutoka sub Saharan wako elfu 21 moja tu kati ya idadi ya watunisia million...
  20. JamiiForums Tanzania Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

    Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu) na pia kulaumu weusi kwa uhalifu. Makundi ya waarabu yameanza kutembeza kichapo kwa weusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…