weusi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Kulevya (Lyrics) - Weusi

    Madaraka ya Kulevya Lyrics Madaraaaa Madaraka x2 Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2 Nikki wa Pili Mjini nimedondoka kama chopa, chopa star... Wananiita zee la makopa Zee la kulia mtoto hawezi toka Watoto wanang'oka...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  3. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

    Wakuu hii rangi imelaaniwa . Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna. Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake. Then wanazaa balaa Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
  5. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni masikini sana?

    Karibu katika huu mjadala why black people are poor. Mimi nita highlight mambo matatu Nidhamu ya pesa Nidhamu ya Kazi Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Wakili abanwa kwa kusema polisi wanaua waamerika weusi kila siku

  7. G

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

    Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Watu weusi hawajalaaniwa

    Kwa kutokufahamu Maandiko kwa usahihi, baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu aliwalaani watu weusi. Wanawahusisha watu weusi na utomvu wa nidhamu wa Hamu kwa baba yake. Baada ya Hamu kumchungulia baba yake, Noah alimlaani mtoto wa Hamu. Hakumlaani Hamu, alimlaani mjukuu wake, Kanaani, ambaye ni...
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Waafrika weusi sisi tunakwama wapi?

    Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua sisi kuzaliwa kama nyumbu kuwa wajinga kupitiliza ili races zingine zinufahike na ujinga wetu...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Wasudani weusi Waislam waliwasaidia waarabu kuwafuta wasudan wasio Waislam leo hii waarabu wanakanyaga wote

    Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na waarabu kuwaangamiza wasudan wasio kuwa waislam Leo wanaojiona waarabu hawawatambui wasudani weusi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tunajua Mungu alimuumba Adam; je ulipata kujua ilitokeaje Dunia ikawa na watu wengi? Ni hatima ya watu weusi?

    Tupate majibu yako na huku ukitipatia chanzo chako. Mm chanzo habari yangu ni sunnah.com ambapo utasoma ktk Hadith ya 119 ya Mishkat Al-Masabih
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naona wafrika weusi ni binadamu hatari sana

    Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania King Leopard hatajwi kama muovu kisa aliua watu weusi

    Hitler aliua wazungu milioni 2 na anatwaja kama mtu mouvu zaidi kuwahi kutokea ila king Leopard wa Belgium aliua black people Congo hapo zaidi ya watu milioni 20 lakini hatajwi sana kwenye list ya watu waovu zaidi. Kuna shida kwenye historia.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliposema nawachukia Wamoroko katika Mashindano wa Kombe la Dunia kwakuwa ni Wabaguzi kwa Sisi Weusi hamkunielewa, sasa kwa walichokifanya mtanielewa

    Nendeni katika Ukurasa wa X ( zamani Twitter ) wa Mkenya Mike Sonko muone jinsi Askar Polisi wa Morocco ( Waafrika Wenzetu ) walivyomshambulia na kumpiga vibaya Mwafrika baada ya Kuhoji kwanini Ndege yao imechelewa kwa Siku moja na wako bado Airport lakini kuna Tangazo limetoka likisema kuwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Licha ya Waislamu weusi kujaribu kutengeneza umoja na waarabu kwa kigezo cha kudumisha umoja wa kiimani na tamaduni, kwanini bado Waarabu wanasita?

    Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watu weusi (Black African) wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata Magonjwa ya Moyo kuliko Wazungu

    Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu). Hili jambo lina ukweli kiasi gani?
  18. greater than

    JamiiForums Tanzania Kwanini Movie za Wamarekani weusi zina...

    Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha. Ila kuna suala moja lanifikirisha sana. Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya kuwahimiza watu kutokukata tamaa na kupambana kujikwamua kiuchumi,, kwanini zikiwa ni za wamarekani...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Meek Mill atamani Uraia wa Ghana akidai Marekani ina tabia ya kubomoa wanaume weusi

    BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume Mill ameandika hayo kupitia mtandao wake wa X ambapo anadai anautaka uraia wa Ghana kwasababu...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Maisha tunayoishi Watanzania na Waafrika ni aibu tupu

    Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo. Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
Back
Top Bottom