Nifanyaje ili weusi usijitokeze baada ya kunyoa ndevu?

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Nimekuwa nanyoa ndevu mara kwa mara kwakuwa kibarua changu hakiruhusu kuwa na ndevu. Sasa nimeanza kutokewa na weusi.

Nini nifanye ili nisiwe na weusi baada ya kunyoa ndevu? Naombeni mbinu
 
Back
Top Bottom