weusi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
  2. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa nachanganyikiwa. Walikuwa weusi, weupe au Aliens waliojenga hizi Pyramids?

    Tumekuwa tukisema walijenga waafrika weusi zile pyramids. Na tunasema zamani waafrika walikuwa wana akili sana (wazungu wakaiba akili bila shaka) tukabaki mabumunda tu. Au sivyo? Sawa weusi ndo walijenga na kutawala Egypt na Waafrika ndo walikuwa na ustaarabu mkubwa miaka hiyo. Swali. Baada...
  3. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wa China na Arab hawaasili (Adoption) watoto weusi kama Wazungu? Daah, God bless America

    (1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu. (2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao. (3) Ni mtu gani mweusi aliwahi kuwa kiongozi wa kisiasa China au nchi yoyote ya Kiarabu?? Siku hizi nimekuwa...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

    Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jamii za watu weusi zina idadi kubwa ya Watu wenye Crab Mentality (Kaa kwenye ndoo)

    Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo. Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo. Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi...
  6. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Waarabu weusi wapinga Sheria mpya ya Ndoa huko Nchini Morocco, wapandisha sukari

    Amani kwenu wana jukwaa Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela Lakini pia ni marufuku...
  7. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Watu weusi Ughaibuni na Kelele

    Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea masaa kw simu kwa nguvu zote kama roho inakata😡😡😡😡😡 na hajali Kama kuna watu wengine na ambao pia...
  8. instagram

    JamiiForums Tanzania Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna yoyote serikali inaweza kuwarahishia Wamarekani Weusi wanaofika nchini, kuhamia, kufanya biashara au kama sehemu ya kustaafia?

    Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia. Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

    Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
  11. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Verse ya Msanii lord eyes kutoka kwenye Crew ya "Weusi

    LORD EYES. Verse ya Msanii lord eyes kutoka kwenye Crew ya "Weusi kampuni" Enzi hizo akiwa bado ni member wa Crew ya " Nako 2 nako " kwenye ngoma ya Hawatuwezi, ni moja kati ya Verse bora za muda wote kwenye muziki wa HipHop Tanzania. Ipi Verse yako nyingine bora ya HipHop? "We the champs! A...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wana mvuto wa kipekee sana

    Wale waliosema black is beauty hawakukosea hata chembe na walikiona hicho wanachosifia katika uhalisia wake Wanawake weusi bila kupepesa ni warembo na wazuri hasa wanapokuwa natural na vipodozi vichache Hawa viumbe wana sifa za kuu mbili.. Sifa za ndani na sifa za nje Sifa za ndani Wengi...
  13. papag

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Kulevya (Lyrics) - Weusi

    Madaraka ya Kulevya Lyrics Madaraaaa Madaraka x2 Umenipa madaraka ya kulevya Ooh baby Nayumba nateleza Umenipa madaraka ya kulevya Oo darling Naimba napoteza x2 Nikki wa Pili Mjini nimedondoka kama chopa, chopa star... Wananiita zee la makopa Zee la kulia mtoto hawezi toka Watoto wanang'oka...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni vigumu sana kuwa Top 10 ya matajiri na kujenga utajiri wa vizazi (generational wealth)?

    Wengi huwa wanapenda kuwaita mabilioniea lakini kiuhulasia bilionea Tanzania mpaka sasa ni mmoja tu Mo Dewji, wengine wote pia wanaotajwa tajwa sana katika hiyo list ya matajiri kumi 10 Tanzania ni Watanzania wenye asili ya waarabu au Wahindi, labda Bakheresa anaweza kuwa na asili ya blacks ila...
  16. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nipo Majuu huku, aisee watu weusi wa huku wana tabia za ajabu

    Wakuu hii rangi imelaaniwa . Nilikuwa najua black (Nigga) waliozaliwa marekani wapo tofauti na waswahili kumbe hamna. Yaani kuna sehemu nafanya mchongo jamaa wakipewa hela hawarudi kazini kesho yake. Then wanazaa balaa Wakipewa nafasi za juu wanaharibu daah hii rangi inashida Sana
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
  18. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ni masikini sana?

    Karibu katika huu mjadala why black people are poor. Mimi nita highlight mambo matatu Nidhamu ya pesa Nidhamu ya Kazi Kutokuwa na utamaduni wa kujiwekea AKIBA.
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Wakili abanwa kwa kusema polisi wanaua waamerika weusi kila siku

  20. G

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris aumbuka kwa kudanganya ni Mmarekani mweusi, wamarekani weusi wanamkataa na kuhamisha focus kwa Trump

    Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
Back
Top Bottom