Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali.
Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti
Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti
Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
Kaburu Petet Botha na wenzake walikuwa hawataku upinzani wa kila namna. Kila mpinzani aliyekuwa akipinga ukatiri wao alipotezwa kuuwawa au kutiwa kizuizini.
Miaka hiyo kituo kikuu cha polisi maarufu John Vorster Square kilitumika kutesa, kuua na hata kuficha watu
Hapa Tanzania haya mambo saza...
Nahitaji kujua katika kutembea tembea mapori makubwa yote Hadi nimefika umri huu sijawahi kuona kanga mweupe porini kijivu au kahawia.
Mara zote Huwa naona Hawa kanga weusi wenye madoa meupe Hawa kanga wengine wenye rangi tofauti na hiyo walitokea wapi?
Mfano sungura Mimi katika maisha yangu...
Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida.
Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na wazungu au watu weupe.
1- imekuaje IQ za watu weusi zikawa chini kulinganisha na watu weupe?
2- ni...
Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi.
Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech"
ALISEMA:
"Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi .
Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono .
Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k
Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili.
Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?
Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.
ILA SISHANGAI
Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya...
Nilitumia deodorant flani kwa Muda kumbe inasababisha kwapa kuwa jeusi. Sasa nimejaribu kutumia limau kwa Muda mrefu Lakini wapi. Limau linakata tu harufu y’a jasho ila haliondoi ule weusi ulioletwa na ile deodorant y’a mwanzo. Nikaambiwa nijaribu deodorant y’a forever living lakini wapi...
Kuwekwe kiwango fulani cha tozo kwa Gari binafsi kwa wale wanaotaka kutumia miundo mbinu hiyo ili kukwepa kero sugu ya foleni ya jijini Dar.
Mathalani waweza kuchaji Gari dogo shilingi elfu hamsini kutokea Kariakoo au Ferry mpaka Mbezi au Kibaha au Chalinze siku wakifikia huko.
Naamini kabisa...
Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao.
Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
Habari Wakuu.
Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe wapo vizuri Sana kimuonekano Yani wamesuka vizuri wana haiba zote za kike.
Njoo Kwa timu za watu...
Wakuu .
Mimi nimetembea duniani kote
USA
UK
France
German
N.k
Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani .
We are not organized
Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
Makabuli weusi nawaona wakianza kutafutana na hasa yule FW de Klerk mweusi wa Tanzania.
Ni wakati sasa wakuwanyosha hawa Makabulu na sana kiongozi wao FW de Klerk anapaswa kufundishwa utawala wa sheria.
Mpendwa Mwafrika mwenzangu,
Leo nakuandikia tafakri yangu binafsi, lakini pia kwa tumaini. Uchungu kwa sababu kuna jambo linaloendelea kwenye jamii zetu ambalo linatufanya tusisonge mbele kama tunavyopaswa. Tumekuwa watu wa kutafuta, lakini si watu wa kuendeleza. Tumekuwa hodari wa jasho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.