Wasudani weusi Waislam waliwasaidia waarabu kuwafuta wasudan wasio Waislam leo hii waarabu wanakanyaga wote

vibesen xxx

JF-Expert Member
Jul 23, 2022
2,845
5,746
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana

Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na waarabu kuwaangamiza wasudan wasio kuwa waislam

Leo wanaojiona waarabu hawawatambui wasudani weusi haijalishi wewe ni muislam au la hata km umekariri kwaran km ni mweusi unakatwa shingo salama yako uwe na ngozi ya kuchovya

Bushiri aliwasaidia waarabu kumiliki raslimali nyingi za sudan kiasi kwamba uchumi wote wameushika wao na wanataka wawe nchi ya kiarabu tu

Leo wasudani hawabaguliwi kwa dini ila wanabaguliwa na kuuwawa kwasababu ya weusi wao
 
Hizi misinformation zote za nini!?
Unapata faida gani ukidanganya!?
Je wale wakimbizi wanafunzi wa Sudan asili ya weupe waliokimbilia kusoma Tanzania imekuaje!?
Vita za Sudan ni kati ya RSF NA RAF.
Haihusiani na rangi au kabila.
Embu muachage kuropoka baada ya kushiba makande.
 
Una
Wanasema Islam is a religion of peace lakini hiyo amani siioni kwenye uislamu. Kwanza ilianza kwa mapigano. Mwenye uwezo wa kufafanua na afafanue ni kivipi dini ya kiislamu ni ya amani?
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam ulianza kwa mapigano!?
Unaishi na waislam Tanzania na matajiri wengi na wakubwa Tanzania ni waislam,je amani ilivunjwa??
Bakhresa,Mo Dewji,Ghalib Said Muhammed,Marehem Mansour Daya,Abood,Ahmad Kishki n.k n.k wote hao waislam na asili ya kiarabu na kihindi,je uliona uvunjifu wa amani!?
Umesoma na waislam wangapi je umeona wakiwa wavunjifu wa amani!?
Saudi Arabia,Qatar,Bahrain,Kuwait,UAE,Malaysia,Indonesia,Brunei Darusalaam,Bosnia and Hezergovina,Turkiye hayo yote mataifa ya waislam,je umeona uvunjifu wowote wa amani!?
 
Uislamu ni dini ya shetani na shetani hutaka damu kila wakati.
Naona Roman Catholic iloanzisha CRUSADE WAR ni dini ya amani.
-Triangular slave trade.
-World war 1&2.
Zilizoletwa na wakristo inaonesha kweli ukristo dini ya amani.
Mbona huzungumzii magaidi ya kikatoliki ya Central African republic Antibalaka?
Mnaowasema wanaabudu dini ya shetani ndio hao wanailisha nchi yenu fukara ya Tanzania kina Ghalib Said,Said Salim Bakhresa,Mo Dewji,Mansour Daya.
 
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana

Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na waarabu kuwaangamiza wasudan wasio kuwa waislam

Leo wanaojiona waarabu hawawatambui wasudani weusi haijalishi wewe ni muislam au la hata km umekariri kwaran km ni mweusi unakatwa shingo salama yako uwe na ngozi ya kuchovya

Bushiri aliwasaidia waarabu kumiliki raslimali nyingi za sudan kiasi kwamba uchumi wote wameushika wao na wanataka wawe nchi ya kiarabu tu

Leo wasudani hawabaguliwi kwa dini ila wanabaguliwa na kuuwawa kwasababu ya weusi wao
kuna neno lina sema dini imejificha kwenye mambo mengi na pale sudani sio dini ni ukabila ambao umefichwa na dini
 
Una
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam ulianza kwa mapigano!?
Unaishi na waislam Tanzania na matajiri wengi na wakubwa Tanzania ni waislam,je amani ilivunjwa??
Bakhresa,Mo Dewji,Ghalib Said Muhammed,Marehem Mansour Daya,Abood,Ahmad Kishki n.k n.k wote hao waislam na asili ya kiarabu na kihindi,je uliona uvunjifu wa amani!?
Umesoma na waislam wangapi je umeona wakiwa wavunjifu wa amani!?
Saudi Arabia,Qatar,Bahrain,Kuwait,UAE,Malaysia,Indonesia,Brunei Darusalaam,Bosnia and Hezergovina,Turkiye hayo yote mataifa ya waislam,je umeona uvunjifu wowote wa amani!?
Haya usije sema hukuambiwa

1000446313.jpg
 
Wewe unauwalakini, Nitajie mtu mmoja tu mwisilam mweusi mwenye ukwasi unaousema wewe

Mweusi mwenye ukwasi alikuwaga Mengi tu, wengenewe wote ni makabakachori
 
Una
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam ulianza kwa mapigano!?
Unaishi na waislam Tanzania na matajiri wengi na wakubwa Tanzania ni waislam,je amani ilivunjwa??
Bakhresa,Mo Dewji,Ghalib Said Muhammed,Marehem Mansour Daya,Abood,Ahmad Kishki n.k n.k wote hao waislam na asili ya kiarabu na kihindi,je uliona uvunjifu wa amani!?
Umesoma na waislam wangapi je umeona wakiwa wavunjifu wa amani!?
Saudi Arabia,Qatar,Bahrain,Kuwait,UAE,Malaysia,Indonesia,Brunei Darusalaam,Bosnia and Hezergovina,Turkiye hayo yote mataifa ya waislam,je umeona uvunjifu wowote wa amani!?
Uislamu ulipokuwa mchanga huko Makka, haikuwa dini yenye jeuri. Aliyesilimu wa kwanza alikuwa mke wa kwanza wa Mohammad, Khadija baada ya kumweleza kuhusu ziara ya Malaika Jibril (Gabriel) ambaye alikuja kwa Muhammad kwenye pango la Hira na kumwamuru aanze kusoma zile ambazo zinapaswa kuwa aya za kwanza za Quran. . Muda mfupi baadaye, watu wengine wachache wakiwemo mtumwa wake wa zamani aliyeachiliwa huru na mabinti zake walisilimu, na baadaye, baadhi ya watu mashuhuri wa kabila la Maquraishi ambalo Muhammad alitoka. Muhammad alikaa Makka kwa takriban miaka 13 lakini aliweza tu kuwashawishi Waarabu 150 tu kuwa Waislamu. Sera ya dini yenye amani ilishindwa. Wapagani wa Makka walimvumilia Muhammad mwanzoni, lakini mahusiano yaliharibika alipozungumza kwa kukosoa dini na Miungu yao, na hatimaye walichoshwa na Muhammad na kumfukuza yeye na wafuasi wake kutoka Makka. Hii inajulikana kama Hiraj.

Ilikuwa ni wakati wake huko Madina (wakati huo ikijulikana kama Yathrib) ambapo Mohammad aliweza kukusanya wafuasi zaidi na kuunganisha makabila ya Kiyahudi, na kuwa na nguvu zaidi. Baada ya mashambulizi machache yaliyofaulu kwa misafara ya Makka, Mohammad alianzisha mkakati wa werevu wa Jihad ambao ungekuwa mtindo wake mpya wa mafanikio kuanzia hapo na kuendelea. Alitambua kwamba njia pekee yenye ufanisi ya kueneza Uislamu ilikuwa kupitia vita. Nyara zilizochukuliwa kutoka vitani zingegawanywa miongoni mwa wafuasi wake. Wakati wa kifo chake, Uislamu ulikuwa umeenea katika sehemu kubwa ya Rasi ya Arabia.

Ifuatayo ni dondoo kutoka kwa Sira ya Mohammed (mkopo kwa Bill Warner):

Wazo la kuvamia misafara ya Makka lilitatua matatizo mawili kwa Muhammad. La kwanza lilikuwa ni pesa zingemaliza umasikini wa Waislamu. Pili, Muhammad atalipiza kisasi kwa kufukuzwa Makka. Wazo la jihadi lilizaliwa wakati huu. I416-423 Mohammed aliwatuma wapiganaji wake kwenye mashambulizi saba ya silaha ili kutafuta msafara wa biashara unaoelekea Makka. Katika jaribio la nane wanajihadi walipata msafara huo. Walimuua mtu mmoja na kuwakamata wengine. Ngawira na mateka walirudishwa Madina. Kulikuwa na tatizo dogo. Walikuwa wamevamia na kumuua mtu katika mwezi mtakatifu wa amani. Hii ilikiuka desturi za kabila la Kiarabu. Lakini Qur'an ilisema kuwa kuua makafir katika miezi mitukufu ni kitendo cha maadili. Kwa watu wa Makkah kuupinga Uislamu lilikuwa ni kosa dhidi ya Mwenyezi Mungu, hivyo kuua kulikuwa na haki.

Chochote maoni yako juu ya Mohammad, alikuwa mbabe wa vita na mwanamkakati mwerevu. Kwa msingi huo, alikuwa ni adui mkubwa kwa yeyote aliyemvuka. Aliwasadikisha wafuasi wake kwamba Mwenyezi Mungu yuko upande wao na kwamba hatimaye wangeshinda. Hata kama wangeshindwa katika vita vya hapa na pale, wangeenda peponi ikiwa watakufa wakipigana kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Ili kudhihirisha hili, nitanukuu moja kwa moja kutoka kwenye Hadiyth:

Sahih al-Bukhari Kitabu cha 2 Hadithi ya 35

Mtume (s.a.w.w.) amesema: "Mwenye kushiriki katika (vita vitakatifu) katika njia ya Mwenyezi Mungu, na hakuna kinachomlazimisha kufanya hivyo isipokuwa kumuamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake, basi atalipwa na Mwenyezi Mungu ujira au ngawira (ikiwa atabakia) au ataingizwa Peponi (kama atauawa katika vita kama shahidi).

Imani hii ya upofu ilifanya jeshi la Kiislamu la Muhammad lisiwe na woga katika vita na wapinzani wa kutisha. Nina shaka kwamba Muhammad alikuwa na upanga mwenyewe, ingawa alikuwa na kadhaa. Alikuwa na watu wengi wa kumpigania hivyo hakuwa na haja ya kuokota panga na kuhatarisha maisha yake.

Waislamu wanaomheshimu sana Mtume wao kama kielelezo kamili cha ubinadamu bila shaka watalipinga toleo hili, na kushikilia kwamba Muhammad na wafuasi wake hawakupigana kamwe vita vyovyote ambavyo havikuwa vya kujihami; kwamba alikuwa mtu wa amani na mtu mwema na hakuwahi kuua mtu yeyote. Hii inaonekana kuwa inapingana na maandishi ya kihistoria ya Kiislamu ambayo yanapendekeza vinginevyo. Waandishi wa mwanzo wa wasifu wa Muhammad, Hadith kama vile Sahih Bukhari na hata Quran yenyewe wana mifano mingi ambapo Muhammad aliua watu, kama walivunja mikataba, waliasi, au hata walimtukana tu Mtume kwa mashairi na kukosoa Uislamu. Wakati fulani Muhammad aliruhusu kukatwa vichwa kwa Wayahudi zaidi ya 600 kutoka kabila la Banu Qurayza kufanyike, akiita kuwa ni mapenzi ya Mungu. Ikiwa kweli Uislamu ulikuwa dini ya amani, inaonekana kuwa na shaka kwamba ungeenea hadi sasa hivi na kwa haraka sana, na kuchukua nafasi ya upagani ulioimarika na ushirikina katika Uarabuni, na kuwaangamiza Wakristo katika Ardhi Takatifu na kumtia nguvu Papa Urban II katika kuitisha Vita vya Kwanza vya Msalaba. . Kwa hakika, Uislamu haujawahi hata kuwa na amani yenyewe kama mzozo kati ya Sunni na Shia utakavyoonyesha.
 
Una
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam ulianza kwa mapigano!?
Unaishi na waislam Tanzania na matajiri wengi na wakubwa Tanzania ni waislam,je amani ilivunjwa??
Bakhresa,Mo Dewji,Ghalib Said Muhammed,Marehem Mansour Daya,Abood,Ahmad Kishki n.k n.k wote hao waislam na asili ya kiarabu na kihindi,je uliona uvunjifu wa amani!?
Umesoma na waislam wangapi je umeona wakiwa wavunjifu wa amani!?
Saudi Arabia,Qatar,Bahrain,Kuwait,UAE,Malaysia,Indonesia,Brunei Darusalaam,Bosnia and Hezergovina,Turkiye hayo yote mataifa ya waislam,je umeona uvunjifu wowote wa amani!?
When Islam was in it's infancy in Mecca, it was not a violent religion. The first convert to Islam was Mohammad's first wife, Khadija after he told her about the visit of the Angel Jibril (Gabriel) who came to Mohammed in the cave of Hira and commanded him to start reciting what were to be the first verses of the Quran. Soon after, a handful of other people including his freed ex-slave and daughters converted, and later on, some influential members of the Quraysh tribe to which Mohammed belonged. Mohammed stayed in Mecca for about 13 years but only managed to persuade a mere 150 Arabs to become Muslims. The policy of a peaceful religion was a failure. The Pagans in Mecca tolerated Mohammed at first, but relations soured when he spoke critically of their religion and Gods, and they eventually became fed up with Mohammed and exiled him and his followers from Mecca. This is known as the Hiraj.

It was during his time in Medina (at that time known as Yathrib) where Mohammad managed to amass more followers and unite the Jewish tribes, becoming more powerful. After a few successful raids on Meccan caravans, Mohammad developed a clever strategy of Jihad which would become his new model of success from then on. He realised that the only effective way of spreading Islam was through warfare. The spoils taken from battle would be shared among his followers. By the time of his death, Islam had spread to most of the Arabian Peninsula.

The Following is an extract from the Sira of Mohammed (credit to Bill Warner):

The idea of raiding Meccan caravans solved two problems for Mohammed. The first was the money would cure the Muslim poverty. Secondly, Mohammed would get his revenge for being driven out of Mecca. The idea of jihad was born at this time. I416-423 Mohammed sent his fighters out on seven armed raids to find a trade caravan headed to Mecca. On the eighth try the jihadists found the caravan. They killed one man and captured the rest. The booty and captives were taken back to Medina. There was a small problem. They had raided and killed someone in a sacred month of peace. This violated Arabic tribal custom. But the Koran said that killing the Kafirs in the sacred months was a moral act. For the Meccans to resist Islam was an offence against Allah, so the killing was justified.

Whatever your opinion is on Mohammad, he was a clever warlord and strategist. On that basis, he was a formidable adversary to anyone who crossed him. He convinced his followers that Allah was on their side and that they would ultimately triumph. Even if they lost the occasional battle, they would go to paradise if they died fighting for Allah. To illustrate this, I am going to quote directly from the Hadith:

Sahih al-Bukhari Book 2 Hadith 35

The Prophet said, "The person who participates in (Holy battles) in Allah's cause and nothing compels him to do so except belief in Allah and His Apostles, will be recompensed by Allah either with a reward, or booty (if he survives) or will be admitted to Paradise (if he is killed in the battle as a martyr).

This blind belief made Mohammed’s Islamic army fearless in battle and formidable opponents. I doubt that Mohammed wielded a sword himself, though he did possess several. He had plenty of people to fight for him so he had little need to pick up a sword and risk his life.

Muslims who hold their prophet in high esteem as the perfect model of humanity will of course refute this version, and maintain that Mohammed and his followers never fought any wars that were not defensive; that he was peaceful and a good man and never killed anyone. This appears to be in contradiction to historical Islamic texts which suggest otherwise. The early biographers of Mohammed, the Hadith such as the Sahih Bukhari and even the Quran itself have plenty of examples where Mohammed had people murdered, whether they broke treaties, apostatized, or even just insulted the prophet in poetry and criticised Islam. Mohammed once allowed the beheading of over 600 Jews from the Banu Qurayza tribe to take place, calling it God’s will. If Islam really was a peaceful religion, it seems doubtful that it could have spread so far and so quickly, supplanting well established paganism and polytheism in Arabia, decimating the Christian population in the Holy Lands and galvanising Pope Urban II into calling for the first Crusade. In fact, Islam has never even been at peace with itself as the conflict between Sunni and Shia will illustrate.
 
Una
Unaweza kuweka ushahidi kuwa uislam ulianza kwa mapigano!?
Unaishi na waislam Tanzania na matajiri wengi na wakubwa Tanzania ni waislam,je amani ilivunjwa??
Bakhresa,Mo Dewji,Ghalib Said Muhammed,Marehem Mansour Daya,Abood,Ahmad Kishki n.k n.k wote hao waislam na asili ya kiarabu na kihindi,je uliona uvunjifu wa amani!?
Umesoma na waislam wangapi je umeona wakiwa wavunjifu wa amani!?
Saudi Arabia,Qatar,Bahrain,Kuwait,UAE,Malaysia,Indonesia,Brunei Darusalaam,Bosnia and Hezergovina,Turkiye hayo yote mataifa ya waislam,je umeona uvunjifu wowote wa amani!?
Usimfafanulie huku yeye ameuliza ILIANZA KWA MAPIGANO kataa Kwa ushahidi maana vita vya jihadi ni vingi tu vilipiganwa katika kusambaza uislamu...
 
Back
Top Bottom