wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

    Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu. Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia. Mimi nimeona demeanor yake. Anachowza ni ruzuku tu.
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  4. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  5. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

    Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu. Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli. Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vidume wenzangu hii tuiitaje?

    😀😀😀 Sema chochote utakacho nitakupa.
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

    Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Bana Kongo (Bandeko Nangai) Wenzangu hapa JamiiForums Msaada tafadhali

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMIYCINE nakipenda ukianza Kuntukuza Mwenyezi Mungu, Mpira na Kusikiliza Muziki wa Congo DR tena mpaka Kuiimba na Kuicheza kabisa na kusahau matatizo yangu yote yakiongozwa na Umasikini wangu Ulionitukuka. Hapa nilipo sasa nausikiliza Wimbo mtamu wa Magie (Magic)...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mimi na wewe huenda tumeshakula sana Vibudu tukifikiri ni Kuku, Tuongeze umakini katika kuchagua na Kununua Kuku

    Inasikitisha sana, hapo zamani ilizoeleka vibudu vya kuku vilikuwa kwajili ya kulishia nguruwe ila sikuhizi mimi na / au wewe huenda tumelishwa sana tukidhani ni kuku tena tukijisifu ni bei rafiki kwa mtanzania. Ngoja niwasanue wananchi wenzangu Kwa case study tutachukuloa eneo la Bagamoyo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana CCM Wakatoliki Wenzangu je, kuanzia sasa tunabaki na Kulitii Kanisa au tunabaki na Mwenyekiti wetu Taifa na Chama chetu?

    GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
  14. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Bamia ni muhimu wadada wenzangu!

    .
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais haionekani tena Mtandaoni, itakuwa imekwenda wapi?

    Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar. Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je...
  16. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Members wenzangu niliowatapeli humu JF nisameheni leo natubu

    Wakuu salaam. Baada ya salamu naomba kusema kwamba maisha yana Mambo mengi, wakati mwingine unaweza fanya mambo kinyume kabisa na Tabia yako. Ipo hivi, Miaka michache iliyopita kipindi cha utawala wa JPM Mambo yaliniwia ugumu sana , yaani moja ilikuwa haikai wala mbili haisomeki. Siku moja...
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Wenzangu Kuanzia sasa Popote atakaposimama Mwana CCM Kuongea ni kuzomea Mwanzo Mwisho

    Tanzania ya sasa inatia hasira kuliko wakati wowote ule. Kuna ukandamizaji wa wazi wa haki za binadamu pale ambapo watu tunataka kuhoji maswala ya msingi. Ikumbukwe Tayari kuna wenzetu wameshaanza kutiwa nguvuni. Ili kuonnyesha tuko nao pamoja. Itabidi tuwaonyeshe CCM nguvu ya umma ni real...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa makada wenzangu tu wa CCM nini kinachotusababishia umaskini?

    Nikiwa kama kada maarufu na mtiifu wa CCM na nina imani kwelikweli na Rais wangu Samia, hivi huu umaskini tulionao toka tulipopata uhuru, na tumekuwa tukiongoza inchi wenyewe, ukitegemea tuna kila aina ya rasilimali, kuanzia bahari, utari, madini, ardhi bora, amani aliyotuachia baba wa Taifa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

    Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia. Happy Simba Day leo kwa...
Back
Top Bottom