Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.

Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.

Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
 
Ihefu wao wanasemaje?
 
Popoma katika ubora wako.
Umeshakunywa dawa zako
 
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.

Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.

Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
🤣🤣🤣 Duuh! Wewe ni kiboko, umerudi Tena kwa ID nyingine mtani!!!
Bahati nzuri sana art yako ya mwandiko inatambulika vizuri sana bila chenga🤣🤣🤣
 
Huyu mbilikimo hawezi kutulia ana washwa washwa
1698512873508.jpg
 
Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu.

Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli.

Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba SC ila kwa Kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia Kofia kabisa Yanga SC.
Uzi wenyewe umejichanganya.
 
amezidi kutamba na kuichafua Simba SC ila kwa kipigo cha Jumapili atanyamaza na kuivulia kofia kabisa Yanga SC.
Hiyo paragraph mbona umejichanganya sana? Genta anaichafua Simba! Ila Jumapili atanyamaza na kuivulia kofia Yanga!

Sasa ataivuliaje kofia Yanga wakati wewe umesema kua hua anaichafua Simba? Huoni kua kwa kauli yako kama Simba akifungwa ndio furaha yake huyo Genta coz umesema hua anaichafua Simba SC,

Siku nyingeza ongeza umakini ili usijulikane.
 
Yanga hawawezi kuifunga Simba 4-0 au 3-0 kwasababu wakifunga magoli mawili tu wataanza kupiga visigino, kanzu na mbwembwe nyingine nyingi. Wachezaji wa Yanga wakishangiliwa sana huwa wanachanganyikiwa wanaanza kufanya mambo ya ajabu.
 
Back
Top Bottom