Maskini pombe, haina mdomo wakumsema mtu vibaya, haina miguu kusema itamfata mtu nyumbani kwake, yenyewe imejitulizia ndani ya kifungashio chake kimya.... lkn kutwa kuchwa ipo midomoni mwa watu kusemwa vibaya na kusingiziwa malalamiko kibao. Hebu cheki hapa baadhi ya hali/mambo ambayo pombe...
Nmeona ingizo jipya la huyu Kouma (tamka K with U) je mnamwonaje? Anaweza kutufikisha mbali? Maana tayari kuna team Kouma imejipambanua ikimpigia debe na kutangaza jersey yake mgongoni na jina lake kuuuuubwa.
Hakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa.
Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu.
1: kijiji kizima kulikuwa na duka moja la ushirika siku bidhaa ikiletwa wananchi wanajipanga mstari kupokea japo...
Sikujua mimi ni bahili mpaka nilipoona watu wengi wakiniita mbahili lakini mimi nilikuwa naonaga kawaida tu,
Imekuwa ni mazoea kwangu kuwa sensitive sana hata kwa utofauti wa bei ndogo, nahisi maumivu
Kitu flani nikikuta elfu 50 duka flani na nikaenda duka la mbali kinauzwa elfu 52 nipo tayari...
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba
Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede
1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000
Hadi Leo...
AMEANDIKA AHMED ALLY
Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya TFF itatoa taarifa ya uchaguzi na tutathibitisha zaidi
Kitendo cha Nyuma Mwiko kumwekea Wallace...
Habari zenu Wana JF.
Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field.
Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES.
Natanguliza shukrani
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi...
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami...
Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?
Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya.
Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
John mason...! Kwenye kitabu Chake Cha imitation is limitations..anasema.
Utaua uwezo wako pale tu utakapo Anza kujifananisha na wenzako.
Nichukue nafasi hii kukumbusha kuwa,.
Mtu Bora ni yule Ambae anafanya mambo Yale yale kwa namna nyingine..
Tujitahidi kuwa wabunifu kwenye maeneo...
Kama ni kukosa sio mara ya kwanza hata mtani na yeye alikosa, alipoishia tumepafikia hakutakuwa na zile kelele za abiola cup ya miak 30 iliyipita.
Tujipange kwa msimu ujao LIGI YA MABINGWA
Huu ndio msimamo wa 5 year Ranking, hata Pyramids ya mzee wa kutetema ikishinda watakusanya points 47...
Ndugu zangu taifa la Mungu!!!
Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia.
Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
Wala hakuna haja ya kutaka kusumbuka na hili lililojitokeza, waliosababisha haya wanajulikana sema sasahivi wamekaa kimya kama hawapo na zaidi wamewaruka watanzania kimanga kua hawakuambiwa warekebishe pitch. Matokeo watanzania maelfu kwa maelfu wamenyimwa fursa ya dhahabu ya kushuhudia tukio la...
Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry
Ila kwa nilivyowatazama Berkane ile ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.