wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuwa single ila nashindwa, wenzangu mnawezaje.??

    Miongoni mwa faida za kuwa single ni kujipanga kiuchumi, kujijenga kiafya na kutimiza malengo. Natamani kuwa single hata miaka miwili ili nijipange ila kila nikitoka nje nikikutana na wanawake nahangaika mno. Nikiona mtu yuko na mpenzi wake Naona wivu najihisi mpweke mno. Kifupi najihisi...
  2. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  3. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Mliotoboa Law School Mlifanyaje Wenzangu?

    Habari wana JF, Kwakweli nimekwama Law School mwaka wa nne huu sasa unaenda. Nilipambana sana nisishikwe hata somo moja. Bahati haikua upande wangu nikakamatwa somo moja. Mpaka leo linanitesa. Napata michongo ya kazi ila naambiwa kama sina muhuri haitowezekana. Wakuu mliomaliza aidha first seat...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: wanaume wenzangu mnafanyaje fanyaje mpaka mnafika kilele haraka wakati Wa tendo?!!

    Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao, Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
  5. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wenzangu hali si hali nimekwama

    Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba . Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni...
  6. Maganjila tz

    JamiiForums Tanzania Najenga mashimo ya choo ya kisasa yasio jaa walakutoa halufu kali Pia tunatoa ushaui

  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Nilifuta account ya Facebook kutokana na kutongozwa na wanaume wenzangu.

    Nilikua natuma picha zangu kawaida tu, na zinaonesha kabisa mimi ni mwanaume ila kilichonitokea ikabidi nifute account, pia nikajifunza Kenya kuna watu mafilauni wa waziwazi. Yani mtu anakutumia meseji, “Et we ni mzuri, uko wapi?” Yani anakutongoza kama vile mtoto wa kike. Miongoni mwa watu...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wasomi na majobless wenzangu tujitahidi walau tuwe na watoto au familia

    Kwenu vijana wenzangu tuliopoteza muda wetu vyuoni na matokeo yake leo tupo mitaani bila ajira rasmi tunapambana na hali zetu..nataka niwakumbushe kitu hivi mnamkumbuka kiongozi mkubwa wa serikali aliesema atahakikisha vijana wote wasio na kazi rasmi mjini wanarudi kulima na matajiri...
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hiii tabia ya kukinai wanawake ni mimi tu au na wanaume wenzangu mnayo?

    Wakuu,naamini mko salama kabisa,wenye kuumwa basi poleni na Mungu awape ahueni ya maradhi yenu. Issue yangu iko hivi,nina tabia ya kukinai wanawake, naweza nikatumia gharama kubwa za muda na fedha kumpata mwanamke, lkn nikiisha mpiga mashine siku mbili tatu namkinai na sitaki tena kumsikia. Hivi...
  10. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Habari, Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi? Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense. Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee. Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vidume wenzangu tumejipangaje na mwezi huu wanaanza kufunga hawa.

    Madume wenzangu majabali, ukweli ni kwamba hawa watoto kike wa kiislamu ni watamu balaa, wazuri, watundu kunako, sasa kesho waanza mfungo itakuwa mwezi wote huu? Turudi kwa kina manka kwa kichaga?
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wenzangu hivi ni kwanini Mapapa wengi huwa tunawachagua wakiwa ni Wazee na huja Kugundulika na matatizo ya Kiafya baadae

    Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Okay...! Vijana wenzangu chini ya miaka 40 kuna kamjadala hapa. Tukutane utupe maoni yako!!

    Ungependa kuishi mpaka miaka 40 tu lakini uwe na MAISHA YA KIFAHARI, au mpaka miaka 80 lakini uishi MAISHA YA KAWAIDA?" ~ Tudondoke hapo chini.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wenzangu miradi imeanza kufunguka, tokeni magetoni

    Vijana wenzangu, poleni na jua kali. Ni jambo jema kwetu sisi wasio na ajira kuona miradi ya kimkakati ikianza tena kufunguka. Kiukweli, hapo nyuma miradi mingi ilisimama ghafla. SGR Tabora - Kigoma Fika Ulambo, kuna kambi pale, na maoperator wameshaanza kazi ya division. Morogoro Bwawa la...
  17. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Tanzania Hizi kesi za Mwanamke anataka mtoto asome shule ya gharama ilihali mwanaume hana uwezo, Je na nyie watu wazima wenzangu huwa zinawafikia?

    Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
  18. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

    Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo. Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda. Hiyo ni...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
  20. ifa96

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wenzangu wa CHADEMA huyu Pascall Mayala naye mjumbe mwenzetu?

    Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
Back
Top Bottom