Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Baada ya matokeo ya 2-0 dhidi ya Berkane kule Morocco nimeoana wanasimba wengi wakifurahia haya matokeo, kuwa watapindua meza (Remontada) na kuwafunga Betkane kwenye mechi ya marudio kama walivyofanya kwa timu mbili za kiarabu, Constantine na All Masry
Ila kwa nilivyowatazama Berkane ile ni timi ya tofauti kabisa, wachezaji wake wana quality ya hali ya juu sio kama wale wa Al Masry na tunatakiwa kushukuru tumepigwa goli mbili tu
mechi ya Al Masry Simba aliitawala sema akafungwa tu goli mbili bahati mbaya
Itakuwa ngumu sana kuwafunga hata goli moja