wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Morocco - Algeria and Egypt, wenye mpira wao

    Bandugu, kwa wale mliobahatika kutazama mechi ya magiants wa afrika (FIFA ARAB CUP), kati ya Morocco and Algeria ilipigwa tarehe 11/12/2021 mutakuwa mmeenjoy sana sana 😀 pira limepigwa acha kabisaa, nina uhakika hawa magiants + Pharaoh watafika mbali mno nchini Qatar/World Cup, na...
  2. JamiiForums Tanzania Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

    Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi. Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wenye ufahamu na hili, nitoeni tongo tongo!

    Wana jukwaa, Mara nyingi huwa najiukiza swali sipati jibu labda kwa kuwa sio mtaalamu wa haya mambo ya intelligence. Hivi Rais anapokuwa katika ziara za kikazi au binafsi nje ya Nchi-anatumia njia gani kuhakikisha nafasi yake aipinduliwi? Unakuta Rais anatumia mwezi 1-2 nje ya Nchi, mfano...
  5. JamiiForums Tanzania Forbes yamtaja Rais Samia Suluhu Hassan katika Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani mwaka 2021. Yupo nafasi ya 94

    Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli. She rose to the position from vice-president, a role to which she was first elected in 2015. In September, she became just the fifth-ever female...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji kufanya biashara Ujerumani, Uswisi na Austria tuwasiliane

    Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika. Matangazo ya biashara yatakuwa katika lugha ya Kijerumani. Nimefanya miaka mingi kwenye biashara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hao watu inaonekana ni watu wenye nguvu sana

    Hicho kikundi cha watu wa ovyo anachokisema mheshimiwa Rais wetu, kinaonekana ni kama kina watu wenye nguvu kubwa sana Sasa sijui ni kina nani hao wenye nguvu kubwa kiasi hicho? Ni matumaini yangu, kwa nguvu kubwa za kikatiba alizonazo mheshimiwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuondoa watu wenye akili Serikalini nakutumia wenye nguvu, taifa lakosa dira

    Mifumo yetu yote yakijasusi na kiraia imekosa au imepungukiwa watu wenye akili na kukaliwa na watu wenye nguvu. Watu wenye akili hata wakizeeka au kuugua still wanaweza kutoa strategies zakuwasaidia wenye nguvu kufanya KAZI lakini watu wenye nguvu iwe ya mwili au uchumi au ya dola wakipatwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

    Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rwanda yaanza kutoa chanjo ya ziada kwa wazee na wenye maradhi nyemelezi

    Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kuwa itaanza kutoa dozi ya tatu kwa wazee na wale ambao wana maradhinyemelezi kuanzia leo Jumanne. Wizara hiyo inasema utekelezaji huo utafanywa kwa awamu na utaanza katika mji mkuu, Kigali. Waziri wa nchi wa Rwanda anayehusika na huduma za afya ya msingi...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?

    Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba? Wakati huyo mwanafunzi analea, mimba yake akiwa darasani je, huyo aliyetungisha, mimba atakuwa wapi? Sheria itaruhusu mwenye mimba kuendelea na Masomo kwa kujiamulia tu au...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kuna Watu Wenye Bahati na Wasio na Bahati? - Kajaze Mafuta Kituo cha TotalEnergies Wiki Hii, Upime Bahati Yako Kwa "The Wheel of Fortune".

    Wanabodi, Haya ninayoandika ni kama utani vile lakini ndio ukweli wenyewe!, Jee wajua ya kuwa, kuna watu wenye bahati na na wengine hawana bahati?. Wenye bahati, mambo yao yanakwenda vizuri na kusema ni bahati tuu, na wasio na bahati, mambo yao yanakwenda vibaya, na kuishia kusema ni bahati...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mji wenye usafiri mzuri wa daladala na elimu nzuri kuliko Mbeya?

    Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane...
  14. JamiiForums Tanzania Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

    Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani. Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

    Taarifa kamili hii hapa
  16. JamiiForums Tanzania Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wenye exposure Tanzania ni waongo?

    Najaribu kutafakari namna Viongozi wetu wenye CV nzuri na waliozunguka dunia wanavyoishi wakipewa madaraka. Ni viumbe wanaoongeza kwa kudanganya na kujidanganya. Pamoja na maisha yote waliyoishi DUNIANI Bado wapo tayari kuishi Kwa uongo uongo wakiamini na wananchi wanadanganyika. Tulitegemea...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira awataka Vijana kuhoji masuala kwani kunyamaza ni unafiki

    Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki. Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii. Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji...
  19. JamiiForums Tanzania Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

    Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo, Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita wasingeyafanya. Hivi katika maksudi kabisa, taasisi nyeti za Tanzania ziliamini kabisa kwamba wao...
  20. JamiiForums Tanzania Tunduma: Uwanja wenye wingi wa majajusi

    Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda. Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…