wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa serikali Tunaomba muwapiganie watumishi wa umma wenye Masters/PhD ili waweze kutambulika kimuundo na kimaslahihi

    Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili. "Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
  2. JamiiForums Tanzania Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

    Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza. Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine. Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu. I wish a Happy...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wenye uzoefu na waliosoma Open university

    habari wakuu naomba kufahamu wenye uzoefu na waliosoma open university course ya procument bachelor level au inayoendana na hio changamoto ipo wapi na ugumu upo wapi
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu namna kupunguza salio(float) kwenye machine za Selcom na bank ili kupata cash wanisaidie

    Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa, Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

    Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao. Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Shafii Dauda na Dahuu wateuliwa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam

    Hebu angalia mchango wa hawa halafu fananisha na kipara kipya au Kamanda Asiyechoka Hawa eti wameteuliwa kwenye Jumuiya ya Wazazi , huku Magonjwa Mtambuka na Lucas mwashambwa wametoswa ! Hata hivyo sisi wengine tulishaonya mapema sana kwamba CCM ina wenyewe, lakini hatukueleweka. ========...
  7. JamiiForums Tanzania Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dunia inaelekea wapi? Watu wasio na akili wanazaliana kwa kasi, huku wenye akili hawazaliani

    Duniani kote watu wenye akili kama Wajapan, Wakorea, Wazungu wa Ulaya na hata Wachina japo wapo wengi ila hawazaliani tena kivile Watu wasio na akili au wenye akili ndogo ndio wanaongoza kuzaliana kwa fujo , je Dunia itaendelea kupata tena maendeleo na ubunifu iliyokuwa ikipata kama watu wenye...
  10. JamiiForums Tanzania Na Marais wengine jitahidini Mkistaafu mkumbukwe Vyema na wenye Akili Kubwa duniani kama huyu....

    A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive. Chanzo: The EastAfrican Online Newspaper Na hata tu Chuo Kikuu cha Makerere alichosoma Hayati Kibaki alisifika kwa kuwa Genius na Bingwa ( Mngwena ) wa Somo la Hesabu na Uchumi ila...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wote wenye furaha nchini Tanzania hawana akili

    Watu wote wenye furaha katika nchi ya Tanzania hawana akili. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania. Ukijiona unaishi kwa furaha katika nchi ya Tanzania jua fika huna akili timamu. Huu ni utafiti
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko

    Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa...
  13. JamiiForums Tanzania LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wenye mabinti wanaosoma Vyuo Vikuu funguka

    Kama wewe ni mzazi au mlezi una binti yako! yuko au anategemea kusoma taasisi za elimu ya juu kwa udhamini wa bodi ya mikopo kaa chonjo! Mabinti ni jinsia ya kike! Ni wanawake hata kama hawajazaa au kuolewa! Ni dhaifu wamejaa tamaa! Sasa wewe mzazi unajiridhisha eti kwasababu kapata mkopo...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni Forex Trade Saccotz Ltd ni halali?

    Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
  16. JamiiForums Tanzania Wenye kuijua hii kampuni forextradesaccotz ltd, tupeni ukweli/uhalali wake

    Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa na watawala wa wenye imani ya kiislam wanatakiwa wawe waadilifu?

    Quran imewataka watawala kuwa waadilifu na kuwafanyia haki sawa kwa watu wote hata ikiwa mlengo wa kisiasa au kidini ni tofauti Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi (wa kupitisha haki) kwa ajili ya allah, muwe mkitoa shahada (ushahidi) kwa uadilifu. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni...
  18. JamiiForums Tanzania Wajue viongozi wenye ulinzi mkali zaidi, mkubwa na wa masala 24 duniani

    (Kwa hisani ya Shirika la Utangaji la Uingereza - BBC) Viongozi wote walio madarakani kuongoza nchi zao,taasisi na mashirika mbali mbali ya kiserikali hupewa ulinzi . Hata hivyo inafahamika kwamba marais na wakuu wa serikali ndio kitengo cha watu wanaopewa ulinzi wa juu kabisa kuliko wote ...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  20. JamiiForums Tanzania Je, wafanyabiashara wenye vituo vya mafuta wanataka kuficha mafuta?

    Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini. Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…