wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ecuador: Watu wenye silaha wavamia studio ya TV matangazo yakiwa ‘LIVE’ na kuwateka Watangazaji

    Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda. Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Wenye kwao wanajenga kwao, wakimaliza kwetu wataenda kwao!

    Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga...
  3. JamiiForums Tanzania Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mpango wa uwongo wa Marekani wenye thamani ya dola milioni 300 wafichuliwa

    Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye MAADUI Wengi au MNAOCHUKIWA sana pokeeni huu Ujumbe wenu Kuntu kabisa.....

    Muwe na Weekend Njema na MAADUI zetu tafadhalini msiache Kutuchukia akina GENTAMYCINE. Kudadadeki.....!!
  6. JamiiForums Tanzania Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

    Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu.. Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee??? Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana. Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda...
  7. JamiiForums Tanzania Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka?

    Mwaka ndo umeanza sasa hebu tuambie ni mchongo gani wenye hela ndefu wa kufanya katika kipindi hiki, mwanzo wa mwaka? #rushamchongo
  8. JamiiForums Tanzania UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  9. JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania List ya makabila Tanzania yenye watu wengi wenye akili

    Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa. Pamoja kwamba wahaya, wachagga na wanyakyusa kusifiwa kama makabila yenye wasomi wengi lakini hakuna cha maana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Watu wote wenye msongo wa mawazo kuhusu January fanyeni yafuatayo mwakani msiwe vichaa

    1. Kama unaishi nyumba ya kupanga make sure mkataba wako wa pango unaanza katikakati ya mwaka au mwishoni na Januari haupo kwenye list ya wadaiwa wa kodi 2. Kama umepanga eneo la biashara lipa kodi ya pango November au Desemba mwanzoni hautaweza kufanya matumizi makubwa kuzidi bajeti...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango. Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  15. JamiiForums Tanzania Kyela Ibasa Festival yatoa msaada wa mafuta na miwani kwa wenye Ualbino

    Umoja wa Wazawa wa Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, waishio ndani na nje ya wilaya hiyo Kyela Ibasa Festival, wametoa msaada wa mafuta ya kupakaa na miwani kwa ajili ya watu wenye Ualbino. Msaada huo umekabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Jamii, Vanessa Nyesyenge kwa niaba ya wanaibasa ambao kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

    Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa. Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023 Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂 Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie" Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi? NB...
  17. JamiiForums Tanzania Wanauchumi na wenye ujuzi wa haya nielewesheni

    Wakuu habari za uzima? Leo nilikuwa naomba nijifunze kitu hapa. Nafikiri wengi tunasikiaga marekani anawekea nchi fulani vikwazo vya kiuchumi, kutokana kwamba yeye ni super power duniani. Wanauchumi na wajuzi ya haya mambo naomba mnieleweshe hivi vikwazo vya uchumi vinakuwaga vipi? Na huwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watu wenye mvuto na uwezo mkubwa wa akili

    Kwa uchunguzi/utafiti nilioufanya. Mashabiki/wanachama wa SIMBA SC ni binadamu wenye mvuto,uwezo mkubwa sana wa akili,wajanja na umaarufu wenye heshima kuliko watu wengi katika Bara fulani na nchi husika. Kama unabisha fatilia wanaoiunga mkono SIMBA SC humu Jamii Forums wengi ni binadamu wenye...
  19. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO na umeme wenye kujua sikukuu

    Huu umeme wa TANESCO kumbe unazitambua sikukuu? Kwamba huwepo kwenye sikukuu na kuwa zikiisha tu, ile kazi pendwa ya awamu #6 inaendelea! Bila shaka hapa tulipo sasa itakuwa bila bila, hadi mwaka mpya. Ipo haja ya kuingia chimboni kutafuta namna ya kutunza umeme kwa matumizi ya baadaye pindi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na majirani wenye maisha ya chini/ Duni

    Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni. Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini majrani wakakuchukia tu sababu ya nyumba zao kuonekana ndogo na zisizo na hadhi km yako? Mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…