Mnawakatisha Sana vijana tamaa. Angeenda chuoni na matokeo yake akawaulizia kuliko kusema hatoboi. Mbona mdogo wangu katoboa radiology bugando akiwa na cdd na ajira keshalamba?Kama huna division 1 na ufaulu Uwe sii chini ya CBB ila ukiwa na CCC flat hutoboi angalua uanzie CBB kwa Physics ,Bios na Chemistry.
Mwaka gani? Usiwe mbishi mkuu afu competition ya Bugando usiifananishe hata kidogo na Muhimbili t,atizo ukweli watu hawapendi kusikia.Mnawakatisha Sana vijana tamaa. Angeenda chuoni na matokeo yake akawaulizia kuliko kusema hatoboi. Mbona mdogo wangu katoboa radiology bugando akiwa na cdd na ajira keshalamba?
Hizo za kitambo Mkuu, Saivi DDR ni Ugomvi😂Mnawakatisha Sana vijana tamaa. Angeenda chuoni na matokeo yake akawaulizia kuliko kusema hatoboi. Mbona mdogo wangu katoboa radiology bugando akiwa na cdd na ajira keshalamba?
Bandika hapa Matokeo na Mwaka ulohitimu japo bado utapaswa kusubiri Mwakani kwani DDR Pashajaa pote si Cuhas wala Muhas.Msaada naweza pata nafasi cuhas course ya radiology level ya Diploma?
Bandika hapa Matokeo na Mwaka ulohitimu japo bado utapaswa kusubiri Mwakani kwani DDR Pashajaa pote si Cuhas wala Muhas.
Bandika hapa Matokeo na Mwaka ulohitimu japo bado utapaswa kusubiri Mwakani kwani DDR Pashajaa pote si Cuhas wala Muhas.
Utapata Mwaka Kesho.Bios A
chem B
phyC
general performance 1 point 14